MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
“Naipenda Tanzania ingawa ndo last version ya dunia”
Nmepamiss Dar kinomanoma
Nmepamiss Dar kinomanoma
Kwani Rostam anasemaje?Wanabodi (kwa sauti ya Paskali Mayalla a.k.a Njaa), kati ya vitu vilivyobaki vinachafua taswira nzuri ya jiji la Dar basi ni kimara. Yaani pembezoni mwa barabara hapaeleweki ni ma vibanda tu na vinyumba vyenye mabati yenye kutu hadi unajiuliza hivi shida ni nini? Mbona hata manzese siku hizi panapenndeza?
Mbona bagamoyo road yote inapendeza? Yaani kuanzia kimara mwisho hadi ubungo interchange hakuna kitu cha maana cha kuleta taswira ya kuvutia kwamba sasa upo Dar, na mbaya zaidi hii ndio njia kuu ya wageni wote wanaotokea nchi za kusini mwa Africa na kati.
Inamaana serikali haijaliona hili na hawaoni aibu pia? Pale ubungo interchange karibu na kituo cha daladala cha 'maji' zilipo ofisi za zamani za DAWASA yamejaa mabanda na vijumba vikuukuu visivyo na mbele wala nyuma, hivi serikali mmeshindwa hata kuwahamisha mkafanya kitu cha maana? Tuondoleeni hii aibu bana mbona mnakua kama hamtembeagi kwenye miji ya nchi nyingine hata za jirani tu.
Hii Nairobi yenye slums kila kona ama kuna nyingine!Huo mji ndio uulinganishe na Nairobi?
Nenda kawajengeeWanabodi (kwa sauti ya Paskali Mayalla a.k.a Njaa), kati ya vitu vilivyobaki vinachafua taswira nzuri ya jiji la Dar basi ni kimara. Yaani pembezoni mwa barabara hapaeleweki ni ma vibanda tu na vinyumba vyenye mabati yenye kutu hadi unajiuliza hivi shida ni nini? Mbona hata manzese siku hizi panapenndeza?
Mbona bagamoyo road yote inapendeza? Yaani kuanzia kimara mwisho hadi ubungo interchange hakuna kitu cha maana cha kuleta taswira ya kuvutia kwamba sasa upo Dar, na mbaya zaidi hii ndio njia kuu ya wageni wote wanaotokea nchi za kusini mwa Africa na kati.
Inamaana serikali haijaliona hili na hawaoni aibu pia? Pale ubungo interchange karibu na kituo cha daladala cha 'maji' zilipo ofisi za zamani za DAWASA yamejaa mabanda na vijumba vikuukuu visivyo na mbele wala nyuma, hivi serikali mmeshindwa hata kuwahamisha mkafanya kitu cha maana? Tuondoleeni hii aibu bana mbona mnakua kama hamtembeagi kwenye miji ya nchi nyingine hata za jirani tu.
Siyo kimara pekeeMkuu,
Uko sahihi sana,ila kupasema Kimara peke yake ni kama unapaonea.
Huo mji wa Dar karibia wote una sura mbaya barababrani na hauvutii kabisa,kidogo kule bagamoyo road Kuna afadhali.
Pita Njia ya keko tu pale kama unaenda mjini,kotekote kama unatoka Benjamin Mkapa/taifa au unapitia upande wa kilwa road. Tena ni eneo karibu na CBD. Mwaka juzi timu ya alhaly walipokuja kucheza na Simba walipiga picha ya juu (aerial view) ilionyesha mabati kama mabanda ya ng'ombe. Nadhani mpiga Picha alikuwa eneo la Majani ya chai roundabout lengo ilikuwa kupata view ya Benjamin Mkapa stadium 🏟️ Picha ilileta mtafaruku mtandaoni balaa
Ufundi Pana mabanda matupu na mabati chakavu wakati pale ni eneo la polisi alafu pananuka mavi muda wote.
Mbagala ndiyo usiseme. Kule chamazi ukienda kuangalia mpira unaona aibu,ni majumba na vifremu vya maduka vichafu na chakavu,alafu Kuna timu za kimataifa wanaitumia hiyo Njia kwenda chamazi uwanjani Tena wanapita na escot kabisa.
Buguruni,vingunguti,tabata matumbi hadi relini mpaka mwananchi kote huko ukipita njiani ni kumechakaa kwa mabati ya kutu.
Hapo manzese ni pa hovyo ingawa umepatetea.
Huku unakutana na sinza kwa ndani ipo tandale ambayo ni chafu vibaya mno. Dar sehemu Gani kuzuri? Maana hata mikocheni Kuna mitaa Ina nyumba za kutu na mabati chakavu kama tandika Tena nyingi sana na zimepangana. Hadi ununio CCM pale pa hovyo na Pana nyumba chakavu.
Mji wa Dar ulitakiwa ufanyiwe marekebisho makubwa sana,siyo kimara peke yake kama ulivyotaja.
Kwa kifupi mleta mada ameionea tu kimara kuifanya ya hovyo wakati hili ni tatizo la kitaifa.Siyo kimara pekee
Hiyo barabara kutoka ubungo hadi.mwanza ni vibanda vya hovyo tu njiani. Bila kusahau airport Nyerere road mhii
Ngoja kwanza tumalizane na bwana polepole anatuvuruga sanaWanabodi (kwa sauti ya Paskali Mayalla a.k.a Njaa), kati ya vitu vilivyobaki vinachafua taswira nzuri ya jiji la Dar basi ni kimara. Yaani pembezoni mwa barabara hapaeleweki ni ma vibanda tu na vinyumba vyenye mabati yenye kutu hadi unajiuliza hivi shida ni nini? Mbona hata manzese siku hizi panapenndeza?
Mbona bagamoyo road yote inapendeza? Yaani kuanzia kimara mwisho hadi ubungo interchange hakuna kitu cha maana cha kuleta taswira ya kuvutia kwamba sasa upo Dar, na mbaya zaidi hii ndio njia kuu ya wageni wote wanaotokea nchi za kusini mwa Africa na kati.
Inamaana serikali haijaliona hili na hawaoni aibu pia? Pale ubungo interchange karibu na kituo cha daladala cha 'maji' zilipo ofisi za zamani za DAWASA yamejaa mabanda na vijumba vikuukuu visivyo na mbele wala nyuma, hivi serikali mmeshindwa hata kuwahamisha mkafanya kitu cha maana? Tuondoleeni hii aibu bana mbona mnakua kama hamtembeagi kwenye miji ya nchi nyingine hata za jirani tu.
Nipo mukuru kwa reuben mjomba, nimeingia leo saa tisa, ni bora na kwa njenga, watu wa muthaiga eti wanakujaga huku kufanya utalii wa slum tour,lakini chakula hapa ni bei poa mazee, ila taste ni mate yako.Nairobi ipi?
Au unadhani hatupajui Korogocho??
Sehemu kubwa Dar inatakiwa ivunjwe yote ipangwe upya ukiondoa zile sehemu ambazo baadhi zimepimwa kama Mbweni ,Kibada ,Kinyerezi ,Masaki,mkikocheni ,oyserbay etcMkuu,
Uko sahihi sana,ila kupasema Kimara peke yake ni kama unapaonea.
Huo mji wa Dar karibia wote una sura mbaya barababrani na hauvutii kabisa,kidogo kule bagamoyo road Kuna afadhali.
Pita Njia ya keko tu pale kama unaenda mjini,kotekote kama unatoka Benjamin Mkapa/taifa au unapitia upande wa kilwa road. Tena ni eneo karibu na CBD. Mwaka juzi timu ya alhaly walipokuja kucheza na Simba walipiga picha ya juu (aerial view) ilionyesha mabati kama mabanda ya ng'ombe. Nadhani mpiga Picha alikuwa eneo la Majani ya chai roundabout lengo ilikuwa kupata view ya Benjamin Mkapa stadium 🏟️ Picha ilileta mtafaruku mtandaoni balaa
Ufundi Pana mabanda matupu na mabati chakavu wakati pale ni eneo la polisi alafu pananuka mavi muda wote.
Mbagala ndiyo usiseme. Kule chamazi ukienda kuangalia mpira unaona aibu,ni majumba na vifremu vya maduka vichafu na chakavu,alafu Kuna timu za kimataifa wanaitumia hiyo Njia kwenda chamazi uwanjani Tena wanapita na escot kabisa.
Buguruni,vingunguti,tabata matumbi hadi relini mpaka mwananchi kote huko ukipita njiani ni kumechakaa kwa mabati ya kutu.
Hapo manzese ni pa hovyo ingawa umepatetea.
Huku unakutana na sinza kwa ndani ipo tandale ambayo ni chafu vibaya mno. Dar sehemu Gani kuzuri? Maana hata mikocheni Kuna mitaa Ina nyumba za kutu na mabati chakavu kama tandika Tena nyingi sana na zimepangana. Hadi ununio CCM pale pa hovyo na Pana nyumba chakavu.
Kuna msasani,Tena hapo ndiyo pamezungukwa na ushuani Kila pande,Huku mikocheni,Huku masaki,huku coco beach huku don Bosco hii hapa,ila pachovu kuliko buza.
Mji wa Dar ulitakiwa ufanyiwe marekebisho makubwa sana,siyo kimara peke yake kama ulivyotaja.
True yaani ukipita kwa mfano moro. Dumila hiyo. Kibaigwa, dom. Singidaa shinyanga.ahaha ha utachoka na mabanda yasiyoeleweka barabaraniKwa kifupi mleta mada ameionea tu kimara kunifanya ya hovyo wakati hili ni tatizo la kitaifa.
Hii nchi imeoza Kila mahali. Sasa unaona kutoka ubungo,Dar hadi makoroboi Mwanza ni mabanda na slums za kutosha.
Ila viongozi ndiyo hao wanaleta ubinafsi,wanagawana Mali za watz masikini Tena wanarundika Mihela wasiyoweza kumaliza wao na vitukuu vyao,ila sisi tunabaki masikini forever.True yaani ukipita kwa mfano moro. Dumila hiyo. Kibaigwa, dom. Singidaa shinyanga.ahaha ha utachoka na mabanda yasiyoeleweka barabarani
Tena mengi sana, na ni sababu ya uzembe tu ya mamlaka zetu hawataki kufikiria nje ya boxPamoja na uzuri wa baadhi ya maeneo hasa katikati ya mji lakini pia Dar ina maeneo mengi ya hovyo kabisa hasa kama ni mgeni umetoka mkoani basi unajua Dar imejengeka Kila kona kumbe hata maeneo ya hovyo yapo
Ni kweli mkuu,nimepataja kimara kwa sababu ndio njia kuu kutoka na kuingia Dar kutokea nchi zote za kusini mwa Afrika na kati pia. Huko kwingine hata manzese panaleta tumaini sababu kwa sasa watu wanapajenga panaanza kuwa na muonekano hata wa shopping centersMkuu,