Haina uzuri popote pale, Nenda Kanairo broPamoja na uzuri wa baadhi ya maeneo hasa katikati ya mji lakini pia Dar ina maeneo mengi ya hovyo kabisa hasa kama ni mgeni umetoka mkoani basi unajua Dar imejengeka Kila kona kumbe hata maeneo ya hovyo yapo
Kimara ya wachaga ni wabinafsi....kimara ni chafu kwa miaka yoote it nevdr changeWanabodi (kwa sauti ya Paskali Mayalla a.k.a Njaa), kati ya vitu vilivyobaki vinachafua taswira nzuri ya jiji la Dar basi ni kimara. Yaani pembezoni mwa barabara hapaeleweki ni ma vibanda tu na vinyumba vyenye mabati yenye kutu hadi unajiuliza hivi shida ni nini? Mbona hata manzese siku hizi panapenndeza?
Mbona bagamoyo road yote inapendeza? Yaani kuanzia kimara mwisho hadi ubungo interchange hakuna kitu cha maana cha kuleta taswira ya kuvutia kwamba sasa upo Dar, na mbaya zaidi hii ndio njia kuu ya wageni wote wanaotokea nchi za kusini mwa Africa na kati.
Inamaana serikali haijaliona hili na hawaoni aibu pia? Pale ubungo interchange karibu na kituo cha daladala cha 'maji' zilipo ofisi za zamani za DAWASA yamejaa mabanda na vijumba vikuukuu visivyo na mbele wala nyuma, hivi serikali mmeshindwa hata kuwahamisha mkafanya kitu cha maana? Tuondoleeni hii aibu bana mbona mnakua kama hamtembeagi kwenye miji ya nchi nyingine hata za jirani tu.
Hahahah😂😂😂😂 Utakufa vibaya wewe nakuhurumia.
Nairobi ipi?Huo mji ndio uulinganishe na Nairobi?
Ukimaliza Daraja la Kijazi, unaingia slums zile upande wa Udism ni balaa......kule hata kwa bure sikaiInamaana serikali haijaliona hili na hawaoni aibu pia? Pale ubungo interchange karibu na kituo cha daladala cha 'maji' zilipo ofisi za zamani za DAWASA yamejaa mabanda na vijumba vikuukuu visivyo na mbele wala nyuma, hivi serikali mmeshindwa hata kuwahamisha mkafanya kitu cha maana? Tuondoleeni hii aibu bana mbona mnakua kama hamtembeagi kwenye miji ya nchi nyingine hata za jirani tu.
Hivi Kibera si iko Nairobi?Huo mji ndio uulinganishe na Nairobi?
Siku ukipata ufahamu wa kujadili mada jadilifu kama hizi huku ukabila ukiuweka pembeni utakuwa umepiga hatua kubwa sana kwenye maisha yako.Kimara ya wachaga ni wabinafsi....kimara ni chafu kwa miaka yoote it nevdr change
Hatua yangu wewe hunifikii hata roboSiku ukipata ufahamu wa kujadili mada jadilifu kama hizi huku ukabila ukiuweka pembeni utakuwa umepiga hatua kubwa sana kwenye maisha yako.
Wewe zingatia tu ushauri wangu sikukwambia kwa ubaya ni just ushauri tu.Hatua yangu wewe hunifikii hata robo
SawaWewe zingatia tu ushauri wangu sikukwambia kwa ubaya ni just ushauri tu.
Hapa tunatumia fake IDs hata mimi naweza kusema ulichosema kumbe ni hohehahe mmoja wa kutupwa so tusiwe siriaz sana tukiwa humu.
Wanabodi (kwa sauti ya Paskali Mayalla a.k.a Njaa), kati ya vitu vilivyobaki vinachafua taswira nzuri ya jiji la Dar basi ni kimara. Yaani pembezoni mwa barabara hapaeleweki ni ma vibanda tu na vinyumba vyenye mabati yenye kutu hadi unajiuliza hivi shida ni nini? Mbona hata manzese siku hizi panapenndeza?
Mbona bagamoyo road yote inapendeza? Yaani kuanzia kimara mwisho hadi ubungo interchange hakuna kitu cha maana cha kuleta taswira ya kuvutia kwamba sasa upo Dar, na mbaya zaidi hii ndio njia kuu ya wageni wote wanaotokea nchi za kusini mwa Africa na kati.
Inamaana serikali haijaliona hili na hawaoni aibu pia? Pale ubungo interchange karibu na kituo cha daladala cha 'maji' zilipo ofisi za zamani za DAWASA yamejaa mabanda na vijumba vikuukuu visivyo na mbele wala nyuma, hivi serikali mmeshindwa hata kuwahamisha mkafanya kitu cha maana? Tuondoleeni hii aibu bana mbona mnakua kama hamtembeagi kwenye miji ya nchi nyingine hata za jirani tu.
Ushawahi kufika nairobi mkuu?Huo mji ndio uulinganishe na Nairobi?