Kimara inaharibu taswira ya jiji la Dar, serikali haioni hii aibu?

Tukiachana na intolerance ya jiji,hivi unapaonaje tandale,Temeke na msasani.
Huko ni pembezoni sio kama kimara gateway ya kuingia na kutoka Dar tokea nchi zote za kusini na kati ya Africa
 
Kimara ya wachaga ni wabinafsi....kimara ni chafu kwa miaka yoote it nevdr change
Ningekujibu Ila nimekuonea huruma, unapimaje kimara kwa kuangalia kando ya barabara tu? MBNA husemi ma kasri ya wachaga Huko kimara yote,ubungo,mbezi Hadi kibamba? Wachaga walkuibia Mume nini maana sio kwa husda hiyo
 
Mimi nilishangaa nilipoenda msasani nilipaona ushuani ila kuingia ndani zaidi nilikuta Kuna baadhi ya mitaa ni uswazi sana nyumba chakavu mno.
 
Umeona kimara tu jombaa? Huoni hizo stand zisizo rasmi na hayo mabasi yaliyotapakaa kuanzia Shekilango hadi manzese utafikiri gereji wakati kuna stand kubwa tu ya mabasi imetelekezwa mbezi pale imekuwa gofu
 
Dar ni Slams ,moja ya majiji mbovu Africa
 
Kwa utaratibu tulio nao wa kila mtu kujijengea kiota chake, ni vigumu sana kuweka standard za majengo na kuupangilia mji. Ni lazima mji upangwe kwa plan nzuri na ujenzi utekelezwe na serikali kupitia wakandarasi wabobevu, then wananchi tupangishwe au kuuziwa
 
Nilifika Harare nchi Ina matatizo Ila building code zao ni strict. Kama una kiwanja Lazima kimepimwa na ujenzi ni nyumba kubwa na banda la uwani.
Huwezi kujenga nyumba kubwa unajenga banda la uwani according to plan ya jiji.
 
Pamoja na uzuri wa baadhi ya maeneo hasa katikati ya mji lakini pia Dar ina maeneo mengi ya hovyo kabisa hasa kama ni mgeni umetoka mkoani basi unajua Dar imejengeka Kila kona kumbe hata maeneo ya hovyo yapo
Maeneo ya hovyo ni mengi zaidi ya Maeneo ya maana
 
Ukiwa angani ndani ya ndege mnaingia jiji la Dar ukichungulia dirishani ndio utagundua kuwa Dar yote ni takataka
 
Who Cares?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…