Kimara inaharibu taswira ya jiji la Dar, serikali haioni hii aibu?

Mkuu umewahi kufika Gongolamboto?... Utafikiri umefika Darfuu, Hata Gaza ni cha mtoto!!
 
Tafsiri ya neno Mayala kwa lugha moja ya huko Kanda ya ziwa ni njaa.
 
Dar ni kijiji kikubwa chenye nyumba zilizozagaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…