Hiyo Barabara ina kasoro nyingi sana, ipo mjini na haina njia za watembea kwa miguu, na tayari hapa kwetu stop over watu wamegongwa wa kutosha tu,Kibaha highway kwa elimu yangu ya ngumbaro ilitakiwa iwe na underpass, kwa ajili ya wapita kwa miguu na gari zinazo negotiate kuingia au kutoka njia kubwa
Huwa naumia sana wasomi wetu , who always brags about how many degrees they have ,wanapofanya maamuzi ya ajabu Kama haya.
Kibaha highway itajaa zebra cross na pengine matuta na trafic lights kwa baadhi baadhi ya sehemu , honestly sioni mantiki ya zile round abouts wanazo Jenga Sasa , ni useless ana elsewhere it is not popular
Na ndio sababu nikasema ikishakamilika itabidi tu iwekwe matuta, no wayHiyo Barabara ina kasoro nyingi sana, ipo mjini na haina njia za watembea kwa miguu, na tayari hapa kwetu stop over watu wamegongwa wa kutosha tu,
Ndio maana amesema anataka kuigeuza Tz kama 'urayaaaaaaaaaa'.Kuna watu wamejenga 3 lanes road wakaiita superhighway [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah primitive at its climax, saa nyingine ushamba mzigo
Halafu ina zebra crossingKuna watu wamejenga 3 lanes road wakaiita superhighway [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah primitive at its climax, saa nyingine ushamba mzigo
Kibaha highway kwa elimu yangu ya ngumbaro ilitakiwa iwe na underpass, kwa ajili ya wapita kwa miguu na gari zinazo negotiate kuingia au kutoka njia kubwa
Huwa naumia sana wasomi wetu , who always brags about how many degrees they have ,wanapofanya maamuzi ya ajabu Kama haya.
Kibaha highway itajaa zebra cross na pengine matuta na trafic lights kwa baadhi baadhi ya sehemu , honestly sioni mantiki ya zile round abouts wanazo Jenga Sasa , ni useless ana elsewhere it is not popular
Watajenja over pass kwa watembea kwa miguu ninadhani, sasa sijui kwa wanaoamua kuacha highway wana milango ya kutokea?Kibaha highway kwa elimu yangu ya ngumbaro ilitakiwa iwe na underpass, kwa ajili ya wapita kwa miguu na gari zinazo negotiate kuingia au kutoka njia kubwa
Huwa naumia sana wasomi wetu , who always brags about how many degrees they have ,wanapofanya maamuzi ya ajabu Kama haya.
Kibaha highway itajaa zebra cross na pengine matuta na trafic lights kwa baadhi baadhi ya sehemu , honestly sioni mantiki ya zile round abouts wanazo Jenga Sasa , ni useless ana elsewhere it is not popular
Basi hapo mtu anapost utoporo huu kama ana PHD ya engineering kumbe yupo kwa baba anasubiri chai.....tunalong way to go kufikia maendeleo ya kweli...Tujifunze kua na constructive criticism
Watajenja over pass kwa watembea kwa miguu ninadhani, sasa sijui kwa wanaoamua kuacha highway wana milango ya kutokea?
Sio lazina wajenge underpass, wanaweza jenga overpass. wasije wakacomplicate wakajenga overpass za mabilioni. wajenge zile simoly after 10yrs unang'oa unaweka nyingine. mana maendeleo yatakuwa yamezidi sana ni bora kujnga za kung'oa kuliko za mabilioni ambazo zitakuwa useless after 10yrs
Kuna watu wamejenga 3 lanes road wakaiita superhighway ππππ dah primitive at its climax, saa nyingine ushamba mzigo