t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Mkuu nilisikia kikuyu bypass ilidizainiwa na wanafunzi wa University , hata masomo walikuwa hawajamalizaHao kweli wameenda shule..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nilisikia kikuyu bypass ilidizainiwa na wanafunzi wa University , hata masomo walikuwa hawajamalizaHao kweli wameenda shule..
Ndio hii mkuu we subiri ikamilike 2032So where are Kibaha highway photos?
Hii ndio sababu wasomi Africa wanatamba kijinga , watu wameacha Kila kitu hata kufikiri watufanyie wasomiBasi hapo mtu anapost utoporo huu kama ana PHD ya engineering kumbe yupo kwa baba anasubiri chai.....tunalong way to go kufikia maendeleo ya kweli...Tujifunze kua na constructive criticism
Nchi inaendelea na haya tunayoyaona mababu na mababa zetu waliotangulia wakifufuka watashangaa sana. Ni bora hata hizo njia nne kila upande kuliko ile barabara ya njia mbili iliyokuwepo zamani ambapo tulikuwa tunatumia masaa matatu kutoka Kibaha mpaka Ubungo ambao ni mwendo wa nusu saa tu.
Ndio maana nchi imeingia uchumi wa kati tulikuwa chini sana hapo zamani hatuwezi ghafla kuwa kama USA au hata SA lakini tunasogea vizuri.
Hayo ma-under pass na ma-over pass yatawekwa tu ni suala la muda. Mungu ibariki Tanzania, dumisha uhuru na umoja tufurahie maendeleo kwa pamoja
Kitu inajengwa na local contractors without any experience kwa highway kama izo,So where are Kibaha highway photos?
Ashai jenga highway gani kama iyo?Contractor ana experience isipo kuwa barabara imejengwa bila consultant.
Kikuyu bypass ndio gani tena? Are you aware that Nairobi alone has 20 times the number of footbridges than entire Tanzania?Na ndio sababu nikasema ikishakamilika itabidi tu iwekwe matuta, no way
Kikuyu bypass ya Kenya Ina km 28, na hakuna sehemu watu wanavuka kuikatisha japo inapita suburbs za Kibera.
I meant southern bypass Ile ya kuelekea rimuru, yes nakubaliana nawe kuhuau footbridgesKikuyu bypass ndio gani tena? Are you aware that Nairobi alone has 20 times the number of footbridges than entire Tanzania?
Point of correction its 19.2 km
Kwani ww ndio mkandarasi nini?...tulia vitu viwekwe sawa...tutaelewana tu
Hii tulinganishe na Juja road ama Katy Freeway?😂😂😂
🤣🤣🤣Kitu inajengwa na local contractors without any experience kwa highway kama izo,
Nangoja final product.
HAHAHAHA, God damn it, dude take it slow on the old man. His brain will explode.Thika super highway , has 10 lanes at its thinnest and 12 lanes at its widest.. 40kms in length...built 10yrs ago(2010). show me a picture of such in Tanzania (2020)..
View attachment 1565959
Hii ni barabara pana kuliko zote duniani.
Na kibaha-kibaha ndio barabara pana kuliko zote east africa.
Ina lanes 20 kila upande.
Tofauti ni design ya feeder roads, hii ya Marekani haina mataa.
Pia, vifuko vya watembea kwa miguu vimewekwa chini (underpass)
View attachment 1565611
Correction Kibaha will be nowhere near the widest road in east africa. Thika road will still be the widest and longest superhighway in east africa.
Kibaha will have 8 lanes at it's widest section,Thika road has 10 lanes at it's thinnest section and 12 lanes at it's widest section and it is 40 km long compare that to only 19 km.
Kibaha highway is pretty much the size of outer ring road Nairobi(14km , 6 lane highway connecting Thika road to JKIA), but less well designed.