Kimara-Kibaha highway vs Katy freeway Texas

Kimara-Kibaha highway vs Katy freeway Texas

So where are Kibaha highway photos?
Ndio hii mkuu we subiri ikamilike 2032
1599810770107.png


km17 urefu
1599810819524.png
 
Basi hapo mtu anapost utoporo huu kama ana PHD ya engineering kumbe yupo kwa baba anasubiri chai.....tunalong way to go kufikia maendeleo ya kweli...Tujifunze kua na constructive criticism
Hii ndio sababu wasomi Africa wanatamba kijinga , watu wameacha Kila kitu hata kufikiri watufanyie wasomi
Yani kujua Kama barabara hiyo imekosewa ni mpaka uwe na PHD ya engineering? Mtoto wa darasa la tano akijua kutumia common sense vizuri ukimpeleka Kenya aone thika highway atakuja kutoa kasoro kibao kwenye highway ya ubungo kibaha
 
Wasomi wa siku hizi wavivu.. Fikiria kama barabara ya kutoka udsm utawala kwenda ardhi ujibersity ingejengwa na wasomi wa leo, wasinge waza kabisa kuweka underpass ya wapita kwa miguu kati ya bookshop na Hall 1.

Ile underpass ijengwa miaka ya 80 huko .. mnapita speed pale bila bugdha ila tikisema madudu ya kazi zeo mnaonanaonewa..

Kubalini tuu kizazi hiki kimekufa .. hakina ubinfu.. kipo kwa akiji ya pesa..
Nchi inaendelea na haya tunayoyaona mababu na mababa zetu waliotangulia wakifufuka watashangaa sana. Ni bora hata hizo njia nne kila upande kuliko ile barabara ya njia mbili iliyokuwepo zamani ambapo tulikuwa tunatumia masaa matatu kutoka Kibaha mpaka Ubungo ambao ni mwendo wa nusu saa tu.

Ndio maana nchi imeingia uchumi wa kati tulikuwa chini sana hapo zamani hatuwezi ghafla kuwa kama USA au hata SA lakini tunasogea vizuri.
Hayo ma-under pass na ma-over pass yatawekwa tu ni suala la muda. Mungu ibariki Tanzania, dumisha uhuru na umoja tufurahie maendeleo kwa pamoja
 
Kabisa.. design ndio art ya kwanza duniani..
Mkuu nilisikia kikuyu bypass ilidizainiwa na wanafunzi wa University , hata masomo walikuwa hawajamaliza
 
Napenda sana watu wanao tumia akili kuleta solution... mambo zinazo tatua kero.xa wananchi kwa ukamilifu sio nusunusu.

Kenya inaonekana watalaam wanapewa nafasi ya kutoa mawazo yao

Tanzania inaonekana wana siasa ndio wameshika peni ya design.

 
Kikuyu bypass ndio gani tena? Are you aware that Nairobi alone has 20 times the number of footbridges than entire Tanzania?
I meant southern bypass Ile ya kuelekea rimuru, yes nakubaliana nawe kuhuau footbridges
 
Hii ni barabara pana kuliko zote duniani.

Na kibaha-kibaha ndio barabara pana kuliko zote east africa.

Ina lanes 20 kila upande.

Tofauti ni design ya feeder roads, hii ya Marekani haina mataa.

Pia, vifuko vya watembea kwa miguu vimewekwa chini (underpass)

View attachment 1565611

Correction Kibaha will be nowhere near the widest road in east africa. Thika road will still be the widest and longest superhighway in east africa.

Kibaha will have 8 lanes at it's widest section,Thika road has 10 lanes at it's thinnest section and 12 lanes at it's widest section and it is 40 km long compare that to only 19 km.
Kibaha highway is pretty much the size of outer ring road Nairobi(14km , 6 lane highway connecting Thika road to JKIA), but less well designed.
 
Hii inaitwa super highway kwanini mmebadilisha iwe parking ya magari.?

Correction Kibaha will be nowhere near the widest road in east africa. Thika road will still be the widest and longest superhighway in east africa.

Kibaha will have 8 lanes at it's widest section,Thika road has 10 lanes at it's thinnest section and 12 lanes at it's widest section and it is 40 km long compare that to only 19 km.
Kibaha highway is pretty much the size of outer ring road Nairobi(14km , 6 lane highway connecting Thika road to JKIA), but less well designed.
 
Back
Top Bottom