Kimara-Kibaha highway vs Katy freeway Texas

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Hii ni barabara pana kuliko zote duniani.

Na kibaha-kibaha ndio barabara pana kuliko zote east africa.

Ina lanes 20 kila upande.

Tofauti ni design ya feeder roads, hii ya Marekani haina mataa.

Pia, vifuko vya watembea kwa miguu vimewekwa chini (underpass)

20200910_225811.jpeg
 
Kibaha highway kwa elimu yangu ya ngumbaro ilitakiwa iwe na underpass, kwa ajili ya wapita kwa miguu na gari zinazo negotiate kuingia au kutoka njia kubwa.

Huwa naumia sana wasomi wetu, who always brags about how many degrees they have, wanapofanya maamuzi ya ajabu Kama haya.

Kibaha highway itajaa zebra cross na pengine matuta na trafic lights kwa baadhi baadhi ya sehemu, honestly sioni mantiki ya zile round abouts wanazo Jenga Sasa, ni useless ana elsewhere it is not popular.
 
Kibaha highway kwa elimu yangu ya ngumbaro ilitakiwa iwe na underpass, kwa ajili ya wapita kwa miguu na gari zinazo negotiate kuingia au kutoka njia kubwa

Huwa naumia sana wasomi wetu , who always brags about how many degrees they have ,wanapofanya maamuzi ya ajabu Kama haya.

Kibaha highway itajaa zebra cross na pengine matuta na trafic lights kwa baadhi baadhi ya sehemu , honestly sioni mantiki ya zile round abouts wanazo Jenga Sasa , ni useless ana elsewhere it is not popular
Hiyo Barabara ina kasoro nyingi sana, ipo mjini na haina njia za watembea kwa miguu, na tayari hapa kwetu stop over watu wamegongwa wa kutosha tu,
 
Na ndio sababu nikasema ikishakamilika itabidi tu iwekwe matuta, no way
Kikuyu bypass ya Kenya Ina km 28, na hakuna sehemu watu wanavuka kuikatisha japo inapita suburbs za Kibera.
 
Kuna watu wamejenga 3 lanes road wakaiita superhighway [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah primitive at its climax, saa nyingine ushamba mzigo
Halafu ina zebra crossing
 
Wamezingua.. angalia hoyo video.. it was very easy kujenga hizo underpass ambazo hata kuku wangepita.[emoji1][emoji1][emoji1]

Nasuhiri kuona hizo zebra crosssing zitakavyo pamba mji
Kibaha highway kwa elimu yangu ya ngumbaro ilitakiwa iwe na underpass, kwa ajili ya wapita kwa miguu na gari zinazo negotiate kuingia au kutoka njia kubwa

Huwa naumia sana wasomi wetu , who always brags about how many degrees they have ,wanapofanya maamuzi ya ajabu Kama haya.

Kibaha highway itajaa zebra cross na pengine matuta na trafic lights kwa baadhi baadhi ya sehemu , honestly sioni mantiki ya zile round abouts wanazo Jenga Sasa , ni useless ana elsewhere it is not popular
 
[emoji1][emoji1]
Kuna watu wamejenga 3 lanes road wakaiita superhighway [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah primitive at its climax, saa nyingine ushamba mzigo
 
Hao kweli wameenda shule..
Na ndio sababu nikasema ikishakamilika itabidi tu iwekwe matuta , no way
Kikuyu bypass ya Kenya Ina km 28 , na hakuna sehemu watu wanavuka kuikatisha japo inapita suburbs za kibera
 
Basi hapo mtu anapost utoporo huu kama ana PHD ya engineering kumbe yupo kwa baba anasubiri chai.....tunalong way to go kufikia maendeleo ya kweli...Tujifunze kua na constructive criticism
 
Kibaha highway kwa elimu yangu ya ngumbaro ilitakiwa iwe na underpass, kwa ajili ya wapita kwa miguu na gari zinazo negotiate kuingia au kutoka njia kubwa

Huwa naumia sana wasomi wetu , who always brags about how many degrees they have ,wanapofanya maamuzi ya ajabu Kama haya.

Kibaha highway itajaa zebra cross na pengine matuta na trafic lights kwa baadhi baadhi ya sehemu , honestly sioni mantiki ya zile round abouts wanazo Jenga Sasa , ni useless ana elsewhere it is not popular
Watajenja over pass kwa watembea kwa miguu ninadhani, sasa sijui kwa wanaoamua kuacha highway wana milango ya kutokea?
 
Sio lazina wajenge underpass, wanaweza jenga overpass. wasije wakacomplicate wakajenga overpass za mabilioni. wajenge zile simoly after 10yrs unang'oa unaweka nyingine. mana maendeleo yatakuwa yamezidi sana ni bora kujnga za kung'oa kuliko za mabilioni ambazo zitakuwa useless after 10yrs
 
Hiki ulicho kiandika ndio cha PHD? [emoji1][emoji1]
Basi hapo mtu anapost utoporo huu kama ana PHD ya engineering kumbe yupo kwa baba anasubiri chai.....tunalong way to go kufikia maendeleo ya kweli...Tujifunze kua na constructive criticism
 
Kwa uzoefu overpass watu hawazipendi.. angalia Kimara wanazidi kujenga fence karibu wafike stop over.

Pia wangejenga underpass ingekua 2 in 1.. magari yangeoita na watu wangepita.
Watajenja over pass kwa watembea kwa miguu ninadhani, sasa sijui kwa wanaoamua kuacha highway wana milango ya kutokea?
 
Inavyo onekana hakukua na maandalizi na kukua nini wanataka kujenga baada ya kubomoa nyumba za raia.
Sio lazina wajenge underpass, wanaweza jenga overpass. wasije wakacomplicate wakajenga overpass za mabilioni. wajenge zile simoly after 10yrs unang'oa unaweka nyingine. mana maendeleo yatakuwa yamezidi sana ni bora kujnga za kung'oa kuliko za mabilioni ambazo zitakuwa useless after 10yrs
 
Nchi inaendelea na haya tunayoyaona mababu na mababa zetu waliotangulia wakifufuka watashangaa sana. Ni bora hata hizo njia nne kila upande kuliko ile barabara ya njia mbili iliyokuwepo zamani ambapo tulikuwa tunatumia masaa matatu kutoka Kibaha mpaka Ubungo ambao ni mwendo wa nusu saa tu.

Ndio maana nchi imeingia uchumi wa kati tulikuwa chini sana hapo zamani hatuwezi ghafla kuwa kama USA au hata SA lakini tunasogea vizuri.
Hayo ma-under pass na ma-over pass yatawekwa tu ni suala la muda. Mungu ibariki Tanzania, dumisha uhuru na umoja tufurahie maendeleo kwa pamoja
 
Back
Top Bottom