Kimara-Kibaha highway vs Katy freeway Texas

Very true
 
Huu unabii unakaribia kutimia[emoji1787][emoji1787]
Na ndio sababu nikasema ikishakamilika itabidi tu iwekwe matuta, no way
Kikuyu bypass ya Kenya Ina km 28, na hakuna sehemu watu wanavuka kuikatisha japo inapita suburbs za Kibera.
 
Na kuna mtu anataka kulinganisha Nairobi na Dar road network., haiwezekani, ni BRT tu ndio wajigambe nayo.., mengine wafyate.
 
Kimara kibaha highway

Contractor : Estim

Consultant : Tanroad..

Employer : Tanroad

Project Manager.. Tanroad
Inafurahisha wajenzi na wasimamizi ni Wahandisi wa Tanzania .

Jirani anajengewa na kusimamiwa na wahandisi wa China .πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Acha kulinganisha ulaya ni vitu vya ajabu ajabu..[emoji1787][emoji1787]
Kama ulaya kumbe ni africa !![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Design ipo Vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…