Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
- Thread starter
- #61
Very true
Kibaha highway kwa elimu yangu ya ngumbaro ilitakiwa iwe na underpass, kwa ajili ya wapita kwa miguu na gari zinazo negotiate kuingia au kutoka njia kubwa.
Huwa naumia sana wasomi wetu, who always brags about how many degrees they have, wanapofanya maamuzi ya ajabu Kama haya.
Kibaha highway itajaa zebra cross na pengine matuta na trafic lights kwa baadhi baadhi ya sehemu, honestly sioni mantiki ya zile round abouts wanazo Jenga Sasa, ni useless ana elsewhere it is not popular.