KERO Kimara Mwisho asubuhi kuna Foleni kali isiyotembea Dar nzima ikasome!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Hizi semi zimekuwa kero mara dufu.

Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei.

Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka.

Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila upande kero haitaisha.
 
Daladala zinasimama katikati ya barabara kupakia abiria, magari yanayotoka Matosa yanaingia kwa wingi pamoja na watumia service road, ukiweka na hayo malori Kimara mwisho nyakati za asubuhi ni kero kubwa sana.

Kila kitu ni kufuata utaratibu, ukishindwa tu kufuata utaratibu (ambao kimsingi watanzania tulishashindwa) lazima likukute jambo.
 
Foleni kubwa inasababishwa pale kimara mwisho stand, bajaji na costa zinashusha na kupakia barabarani, ukivuka tu pale basi
 
Huko ni nchi jirani, rais wenu huko anasemaje kuhusu hiyo foleni? Mwendokasi upigwe marufuku kuja huko.
 
Daladala zinasimama katikati ya barabara kupakia abiria, magari yanayotoka Matosa yanaingia kwa wingi pamoja na watumia service road, ukiweka na hayo malori Kimara mwisho nyakati za asubuhi ni kero kubwa sana.

Kila kitu ni kufuata utaratibu, ukishindwa tu kufuata utaratibu (ambao kimsingi watanzania tulishashindwa) lazima likukute jambo.
Majibu mepesi kwenye maswali ya msingi... Sioni logic ya hoja yako hapa, hivyo ulivyo taja ni minor things tu.

Sababu kubwa ni changamoto ya miundombinu, foleni inasababishwa na ufinyu wa miundombinu uliopo. Hakuna uhusiano wowote wa foleni na utaratibu mbovu.
 
Ila hii nchi reasoning zetu mtu mzima kabisa anaandika hivo kabisa foleni inasababishwa na utaratibu mbovu

Hata kama utaratibu mbovu wenye mamlaka wanatakiwa waimplement utaratibu mzuri
 
Daslm ina foleni kubwa sana naona inatakiwa magari makubwa yawe na bara bara yao pekee kuchanganya na magari madogo ni mtihani sana..
 
Ila mkuu, unajua kwa dar foleni kwa kiasi kikubwa zinasababishwa na gari ndogo, bajaji na costa za abiria.
Inawezekana nisikubaliane na wewe mimi nimekuwa mitaa hiyo mda mrefu, gari kubwa kwenye kuanza mwendo haifanani na gari ndogo. Inapotokea unaruhusiwa kama kuna gari kubwa mbele ni changamoto sana.
 
Hizi semi zimekuwa kero mara dufu.

Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei.

Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka.

Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila upande kero haitaisha.
Watanzania mnapenda na kuendekeza anasa. Kulikuwa na haja gani kumilik magari wakati tuna miguu? Tunapenda kuigaiga tu sasa acha yatutokee puani.
 
Majibu mepesi kwenye maswali ya msingi... Sioni logic ya hoja yako hapa, hivyo ulivyo taja ni minor things tu.

Sababu kubwa ni changamoto ya miundombinu, foleni inasababishwa na ufinyu wa miundombinu uliopo. Hakuna uhusiano wowote wa foleni na utaratibu mbovu.
Ufinyu wa miundombinu, kwani umeelewa nini niliposema daladala zinapaki katikati ya barabara?
 
Waondoe malori kwenye hiyo njia. Bila hivyo mambo ni yale yale.!
 
Back
Top Bottom