KERO Kimara Mwisho asubuhi kuna Foleni kali isiyotembea Dar nzima ikasome!

KERO Kimara Mwisho asubuhi kuna Foleni kali isiyotembea Dar nzima ikasome!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hata Bagamoyo road kuna ongezeko kubwa sana la malory siku hizi, nafikiri wengi wanaoenda kaskazini wanapitia njia ya bagamoyo, nafkir watu wa bunju huko wanaipata
 
Dar uchafu na foleni ni kero sana. Nimeishi Iringa na Arusha kwa miaka kadhaa. Miji misafi hakuna foleni barabarani.

Biashara zangu zikifika level ya kutohitaji mimi mwenyewe nisimamie kila kitu kwa ukaribu, nimepanga kuamishia makazi yangu mkoani
 
Mwandishi wa hii tarrifa ndugu zangu anaiwa Mad max, mnaweza kuelewa, halafu anaishi Kimara
 
Back
Top Bottom