Tatizo wahandisi wetu ni tatizo.hawaweki sehemu za daladala kushusha watuFoleni kubwa inasababishwa pale kimara mwisho stand, bajaji na costa zinashusha na kupakia barabarani, ukivuka tu pale basi
Majibu mepesi kwenye maswali ya msingi... Sioni logic ya hoja yako hapa, hivyo ulivyo taja ni minor things tu.Daladala zinasimama katikati ya barabara kupakia abiria, magari yanayotoka Matosa yanaingia kwa wingi pamoja na watumia service road, ukiweka na hayo malori Kimara mwisho nyakati za asubuhi ni kero kubwa sana.
Kila kitu ni kufuata utaratibu, ukishindwa tu kufuata utaratibu (ambao kimsingi watanzania tulishashindwa) lazima likukute jambo.
Ila mkuu, unajua kwa dar foleni kwa kiasi kikubwa zinasababishwa na gari ndogo, bajaji na costa za abiria.Bandari kavu ya kwala ingekuwa suluhisho la foleni DAR, malori yote yaishie Huko kwala
Ila hii nchi reasoning zetu mtu mzima kabisa anaandika hivo kabisa foleni inasababishwa na utaratibu mbovuMajibu mepesi kwenye maswali ya msingi... Sioni logic ya hoja yako hapa, hivyo ulivyo taja ni minor things tu.
Sababu kubwa ni changamoto ya miundombinu, foleni inasababishwa na ufinyu wa miundombinu uliopo. Hakuna uhusiano wowote wa foleni na utaratibu mbovu.
Inawezekana nisikubaliane na wewe mimi nimekuwa mitaa hiyo mda mrefu, gari kubwa kwenye kuanza mwendo haifanani na gari ndogo. Inapotokea unaruhusiwa kama kuna gari kubwa mbele ni changamoto sana.Ila mkuu, unajua kwa dar foleni kwa kiasi kikubwa zinasababishwa na gari ndogo, bajaji na costa za abiria.
Watanzania mnapenda na kuendekeza anasa. Kulikuwa na haja gani kumilik magari wakati tuna miguu? Tunapenda kuigaiga tu sasa acha yatutokee puani.Hizi semi zimekuwa kero mara dufu.
Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei.
Hapa kuna nyororo imeanzia Kimara Mwisho hadi Suka.
Bila kucontrol hizi lori hata mkijenga barabara 5 kila upande kero haitaisha.
Ufinyu wa miundombinu, kwani umeelewa nini niliposema daladala zinapaki katikati ya barabara?Majibu mepesi kwenye maswali ya msingi... Sioni logic ya hoja yako hapa, hivyo ulivyo taja ni minor things tu.
Sababu kubwa ni changamoto ya miundombinu, foleni inasababishwa na ufinyu wa miundombinu uliopo. Hakuna uhusiano wowote wa foleni na utaratibu mbovu.