Kimara Suka, Dar: Watu wawili wamefariki na nane kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari matatu

Kuna taarifa za ajali mbaya Kimara Suka. Lori limegonga raia pembezoni mwa barabara. Inasemekana kuna vifo na majeruhi...
Pale watu kibao wanapanga foleni wakisubiria mwendokasi na daladala za kawaida yaani ni Mungu tu

Nimepita hapo asubuhi ingawa nilikuwa kwenye mwendokasi aloo tukio sio la kitoto
 
Lorry limefeli breki matuta yangesaidia nini
kwa zile ajali zingine ambazo hazihusishi kufeli kwa brake.... na hii sio mara ya kwanza kwa hili tukio kutokea maeneo kama hayo na mengine kutokana na mwendokasi wa kujitakia wa baadhi ya madereva, atleast wangeyaweka baadhi ya madereva wangekuwa na uendeshaji mzuri sio huo wa kuona barabara imenyooka tu yeye anafunguka tu bila kujali usalama na maisha ya wengine
 
Kimara-Kibaha high way ina changamoto za ajali. Sababu kubwa ni ugeni wa aina ya barabara. Haina matuta na gari zinatembea mwendo mkali kitu ambacho Watanzania wengi hatujazoea.
Nami ninatanguliza pole nyingi kwa wafiwa na majeruhi wote wapate unafuu,nini tujifunze kama nchi?ajali inapotokea ni someone fault na sio kazi ya Mungu,tufanye yafuatayo;pedestrians wasiwepo kwenye hizi freeways na vivuko maalum viwekwe na vitumike kikamilifu;je hii barabara imejengwa kwa kiustadi na kufuata sheria za kujenga freeways?;tuweke cameras na cctv ku monitor hizi barabara;roadworthy ya vyombo vyote vya moto vinapokua barabarani ni muhimu;we need police visibility sio kujificha vichakani ni toys zao.
 
kwa zile ajali zingine ambazo hazihusishi kufeli kwa brake.... na hii sio mara ya kwanza kwa hili tukio kutokea maeneo kama hayo na mengine kutokana na mwendokasi wa kujitakia wa baadhi ya madereva, atleast wangeyaweka baadhi ya madereva wangekuwa na uendeshaji mzuri sio huo wa kuona barabara imenyooka tu yeye anafunguka tu bila kujali usalama na maisha ya wengine
Usalama ni kuweka vivuko aina ya kile cha Manzese ama Buguruni sheli! Kuweka matuta na mataa ni uduanzi.
 
Nami ninatanguliza pole nyingi kwa wafiwa na majeruhi wote wapate unafuu,nini tujifunze kama nchi?ajali inapotokea ni someone fault na sio kazi ya Mungu,tufanye yafuatayo;pedestrians wasiwepo kwenye hizi freeways na vivuko maalum viwekwe na vitumike kikamilifu;je hii barabara imejengwa kwa kiustadi na kufuata sheria za kujenga freeways?;tuweke cameras na cctv ku monitor hizi barabara;roadworthy ya vyombo vyote vya moto vinapokua barabarani ni muhimu;we need police visibility sio kujificha vichakani ni toys zao.
Barabara ile inataka vivuko vya underground ama vya juu kama cha Buguruni bila hivyo kipigo kiko palepale. Waweke wavu katikati kama ule wa kimara mwisho ambao utawalazimisha watu wavukie juu tu hamna namn ingine.

Highway sio sehemu ya kujaza mataa ama matuta pamoja na watu kuzagaa pembezoni kwa namna yeyote ile
 
JF ina vilaza sana, chanzo cha habari kinasema breki ilifeli sasa walitaka iweje? Haya mambo ya ajali hayana formular unaweza kuwa zako unakunywa zako Jack Daniele ghafla unashangaa gari limekuvaa.

Cha msingi ni kuomba tu Mungu kutuepusha
Noma yani unashangaa chuma imeingia ibungu Pub imewalamba raia kadhaa
 
Inawezekana kabisa tena hizi bar za barabarani ogopa kabisa ndio maana mimi niko ndani ndani napiga zangu vitu kwa raha mstarehe labda mtu aje na bastola ndio atanitishia maisha ila sio ajali za gari kufeli breki
 
mfano pale Mbezi stendi ya JPM huoni kuna daraja lakini watu wanalikwepa na kutawanyika huku chini na magari yanafunguka sana?
Hawajaweka restriction tu, mbona kimara mwisho watu wanavuka darajani japo lina kona kama kitonga😅.

Wakiweka barriers kati kati mule hamna mtu atavukia barabarani. Unawaza urudi mpaka junction ndio uvuke au upande darajani usawa huo huo wa stand?😅
 
Barabara ile inataka vivuko vya underground ama vya juu kama cha Buguruni bila hivyo kipigo kiko palepale. Waweke wavu katikati kama ule wa kimara mwisho ambao utawalazimisha watu wavukie juu tu hamna namn ingine.

Highway sio sehemu ya kujaza mataa ama matuta pamoja na watu kuzagaa pembezoni kwa namna yeyote ile
Unazuaiaje watu kuvuka pale na hizo gharama za kuweka wavu na vivuko daraja kwa kila sehemu inawezekana? maana sio mara moja na sehemu moja ajali kama hii ya leo imetokea ujue chief?
 
Hawajaweka restriction tu, mbona kimara mwisho watu wanavuka darajani japo lina kona kama kitonga😅.

Wakiweka barriers kati kati mule hamna mtu atavukia barabarani. Unawaza urudi mpaka junction ndio uvuke au upande darajani usawa huo huo wa stand?😅
hatujajua plan zao hadi labda huko barabara ikamilike maana kuna plan ya mwendokasi hapo katikati
 
Back
Top Bottom