Kimara Suka, Dar: Watu wawili wamefariki na nane kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari matatu

Kimara Suka, Dar: Watu wawili wamefariki na nane kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari matatu

Barabara ile inataka vivuko vya underground ama vya juu kama cha Buguruni bila hivyo kipigo kiko palepale. Waweke wavu katikati kama ule wa kimara mwisho ambao utawalazimisha watu wavukie juu tu hamna namn ingine.

Highway sio sehemu ya kujaza mataa ama matuta pamoja na watu kuzagaa pembezoni kwa namna yeyote ile
Lini watanzania tutatambua hili ..GOD knows!Freeways ,pedestrians SIO eneo lao isipokua kwenye sehemu zilizotengwa tu,binafsi nina wasiwasi mno kuwa ile barabara imejengwa isivyo yaani bila ya kufuata sheria zinazotakiwa kwenye ujenzi wa highways ..but this its a debate for another day.
 
Inasikitisha sana.. kuna mtoto alikuwa darasa la Nne na yeye ni moja ya waliofariki aisee inasikitisha sana wamegongwa wakiwa kwenye zebra[emoji1751]
 
Serikali irudi shule kujifunza kwamba kwa ukubwa wa barabara kama hiyo, haikutakiwa kabisa waenda kwa miguu wawe wanaikatiza kupitia zebra bali kiwe na madaraja ya watu kuvuka...
 
Sijui watajenga madaraja ya juu kwenye Zebra zote!!
 
Back
Top Bottom