Pale watu kibao wanapanga foleni wakisubiria mwendokasi na daladala za kawaida yaani ni Mungu tuKuna taarifa za ajali mbaya Kimara Suka. Lori limegonga raia pembezoni mwa barabara. Inasemekana kuna vifo na majeruhi...
kwa zile ajali zingine ambazo hazihusishi kufeli kwa brake.... na hii sio mara ya kwanza kwa hili tukio kutokea maeneo kama hayo na mengine kutokana na mwendokasi wa kujitakia wa baadhi ya madereva, atleast wangeyaweka baadhi ya madereva wangekuwa na uendeshaji mzuri sio huo wa kuona barabara imenyooka tu yeye anafunguka tu bila kujali usalama na maisha ya wengineLorry limefeli breki matuta yangesaidia nini
Anahusika nini?R.I.P JPM
Nami ninatanguliza pole nyingi kwa wafiwa na majeruhi wote wapate unafuu,nini tujifunze kama nchi?ajali inapotokea ni someone fault na sio kazi ya Mungu,tufanye yafuatayo;pedestrians wasiwepo kwenye hizi freeways na vivuko maalum viwekwe na vitumike kikamilifu;je hii barabara imejengwa kwa kiustadi na kufuata sheria za kujenga freeways?;tuweke cameras na cctv ku monitor hizi barabara;roadworthy ya vyombo vyote vya moto vinapokua barabarani ni muhimu;we need police visibility sio kujificha vichakani ni toys zao.Kimara-Kibaha high way ina changamoto za ajali. Sababu kubwa ni ugeni wa aina ya barabara. Haina matuta na gari zinatembea mwendo mkali kitu ambacho Watanzania wengi hatujazoea.
Kweli kabisa👏Wavukaji barabara alama za zebra...usivuke mpaka ujihakikishe nagari yamesimama kukupisha.mengine huwa yako speed hawana nia ya kusimama.
Anahusika nini?
Usalama ni kuweka vivuko aina ya kile cha Manzese ama Buguruni sheli! Kuweka matuta na mataa ni uduanzi.kwa zile ajali zingine ambazo hazihusishi kufeli kwa brake.... na hii sio mara ya kwanza kwa hili tukio kutokea maeneo kama hayo na mengine kutokana na mwendokasi wa kujitakia wa baadhi ya madereva, atleast wangeyaweka baadhi ya madereva wangekuwa na uendeshaji mzuri sio huo wa kuona barabara imenyooka tu yeye anafunguka tu bila kujali usalama na maisha ya wengine
Barabara ile inataka vivuko vya underground ama vya juu kama cha Buguruni bila hivyo kipigo kiko palepale. Waweke wavu katikati kama ule wa kimara mwisho ambao utawalazimisha watu wavukie juu tu hamna namn ingine.Nami ninatanguliza pole nyingi kwa wafiwa na majeruhi wote wapate unafuu,nini tujifunze kama nchi?ajali inapotokea ni someone fault na sio kazi ya Mungu,tufanye yafuatayo;pedestrians wasiwepo kwenye hizi freeways na vivuko maalum viwekwe na vitumike kikamilifu;je hii barabara imejengwa kwa kiustadi na kufuata sheria za kujenga freeways?;tuweke cameras na cctv ku monitor hizi barabara;roadworthy ya vyombo vyote vya moto vinapokua barabarani ni muhimu;we need police visibility sio kujificha vichakani ni toys zao.
Hapa umesema kweli,maeneo mengi boda boda ,wanapakia na kupaki barabarani,kwenye kona,makutano ya barabara nkKingine ni Boda boda na Bajaji kupaki kando ya Barabara hawana Utaratibu
JF ina vilaza sana, chanzo cha habari kinasema breki ilifeli sasa walitaka iweje? Haya mambo ya ajali hayana formular unaweza kuwa mahali unakunywa zako Jack Daniel ghafla unashangaa gari limekuvaa limekuvunja miguu yote.Lorry limefeli breki matuta yangesaidia nini
Noma yani unashangaa chuma imeingia ibungu Pub imewalamba raia kadhaaJF ina vilaza sana, chanzo cha habari kinasema breki ilifeli sasa walitaka iweje? Haya mambo ya ajali hayana formular unaweza kuwa zako unakunywa zako Jack Daniele ghafla unashangaa gari limekuvaa.
Cha msingi ni kuomba tu Mungu kutuepusha
mfano pale Mbezi stendi ya JPM huoni kuna daraja lakini watu wanalikwepa na kutawanyika huku chini na magari yanafunguka sana?Usalama ni kuweka vivuko aina ya kile cha Manzese ama Buguruni sheli! Kuweka matuta na mataa ni uduanzi.
Inawezekana kabisa tena hizi bar za barabarani ogopa kabisa ndio maana mimi niko ndani ndani napiga zangu vitu kwa raha mstarehe labda mtu aje na bastola ndio atanitishia maisha ila sio ajali za gari kufeli brekiNoma yani unashangaa chuma imeingia ibungu Pub imewalamba raia kadhaa
Hawajaweka restriction tu, mbona kimara mwisho watu wanavuka darajani japo lina kona kama kitonga😅.mfano pale Mbezi stendi ya JPM huoni kuna daraja lakini watu wanalikwepa na kutawanyika huku chini na magari yanafunguka sana?
Unazuaiaje watu kuvuka pale na hizo gharama za kuweka wavu na vivuko daraja kwa kila sehemu inawezekana? maana sio mara moja na sehemu moja ajali kama hii ya leo imetokea ujue chief?Barabara ile inataka vivuko vya underground ama vya juu kama cha Buguruni bila hivyo kipigo kiko palepale. Waweke wavu katikati kama ule wa kimara mwisho ambao utawalazimisha watu wavukie juu tu hamna namn ingine.
Highway sio sehemu ya kujaza mataa ama matuta pamoja na watu kuzagaa pembezoni kwa namna yeyote ile
Umeandika publicly! Kuhojiwa publicly unaleta kejeli! Acha hizo!! We jibu tu JPM anahusika vipi kwenye hii taarifa/ajali?kiherehere tu kuna sehemu nimekuquote?
hatujajua plan zao hadi labda huko barabara ikamilike maana kuna plan ya mwendokasi hapo katikatiHawajaweka restriction tu, mbona kimara mwisho watu wanavuka darajani japo lina kona kama kitonga😅.
Wakiweka barriers kati kati mule hamna mtu atavukia barabarani. Unawaza urudi mpaka junction ndio uvuke au upande darajani usawa huo huo wa stand?😅