Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
pole sanaJF ina vilaza sana, chanzo cha habari kinasema breki ilifeli sasa walitaka iweje? Haya mambo ya ajali hayana formular unaweza kuwa mahali unakunywa zako Jack Daniel ghafla unashangaa gari limekuvaa limekuvunja miguu yote.
Cha msingi ni kuomba tu Mungu kutuepusha
Sasa kuweka matuta na mataa njia nzima ya highway na kuweka vivuko kipi ni viable?Unazuaiaje watu kuvuka pale na hizo gharama za kuweka wavu na vivuko daraja kwa kila sehemu inawezekana? maana sio mara moja na sehemu moja ajali kama hii ya leo imetokea ujue chief?
imekuuma kula dokoUmeandika publicly! Kuhojiwa publicly unaleta kejeli! Acha hizo!! We jibu tu JPM anahusika vipi kwenye hii taarifa/ajali?
Sawa wataweka mwendokasi ila daraja haliathiri mwendo kasi mkuu. Kila baada ya kituo wakiweka cross-over bridge tu tatizo limeisha hamna haja ya kujaza mataa yasio na mpango! Taa zikitoka za ubungo zije za mbezi mwisho Junction pale ya kwenda Goba-Moro-Ubungo-Kinyerezi- inatosha!hatujajua plan zao hadi labda huko barabara ikamilike maana kuna plan ya mwendokasi hapo katikati
TAA ZIMESHAWEKWA SASA SIJUI WATAZITOA KILA KITUO? NA WABONGO TULIVYO WABISHI TUTAONA UVIVU KUPANDA DARAJA LIKIWEKWASawa wataweka mwendokasi ila daraja haliathiri mwendo kasi mkuu. Kila baada ya kituo wakiweka cross-over bridge tu tatizo limeisha hamna haja ya kujaza mataa yasio na mpango! Taa zikitoka za ubungo zije za mbezi mwisho Junction pale ya kwenda Goba-Moro-Ubungo-Kinyerezi- inatosha!
View attachment 2098279
Taa zinaongeza foleni kama uko makini utaliona hilo! Gari zinatakiwa zitembee ziishe sio zirundikane na kuleta misongamano isio na mpangoTAA ZIMESHAWEKWA SASA SIJUI WATAZITOA KILA KITUO? NA WABONGO TULIVYO WABISHI TUTAONA UVIVU KUPANDA DARAJA LIKIWEKWA
WELL UKO SAWA, KWA PLANI ZILIZOPO SIONI MADARAJA YAKIJENGWA SASA HIVI LABDA BAADAE HUKO TATIZO LIKIWA SUGUSasa kuweka matuta na mataa njia nzima ya highway na kuweka vivuko kipi ni viable?
Daraja unaweka mara moja linakaa for years daraja la manzese toka Mkapa akiwa madarakani mpaka leo lina miaka mingapi?
SAHIHITaa zinaongeza foleni kama uko makini utaliona hilo! Gari zinatakiwa zitembee ziishe sio zirundikane na kuleta misongamano isio na mpango
Tatizo tayari ni sugu ila shida ya viongozi wetu hawako proactive. Huwa wanapenda sana kuwa Reactive. Tatizo litokee ndio wakurupuke kuunda tume za uchunguzi!WELL UKO SAWA, KWA PLANI ZILIZOPO SIONI MADARAJA YAKIJENGWA SASA HIVI LABDA BAADAE HUKO TATIZO LIKIWA SUGU
Hilo eneo kuna kituo,so obvious huwezi sema eti boda boda au bajaji zisiwepo.Kingine ni Boda boda na Bajaji kupaki kando ya Barabara hawana Utaratibu
YAANI NI BALAA, UHAI WA WATU WASIO NA HATIA UNAPOTEA BURETatizo tayari ni sugu ila shida ya viongozi wetu hawako proactive. Huwa wanapenda sana kuwa Reactive. Tatizo litokee ndio wakurupuke kuunda tume za uchunguzi!
Kujiongeza tu kuwa madaraja ndio solutionya kudumu hawataki
ZIWEPO ILA ZIPANGWE KWA MPANGILIOHilo eneo kuna kituo,so obvious huwezi sema eti boda boda au bajaji zisiwepo.
Kwa fikra zangu nafikiri vitu vya daladala viwe kama extensions pembezoni mwa barabara kuu na watu wasogelee eneo la kupandia endapo tu gari imeshafika ila kwa waiting time wakae pembeni kabisa ya kituoHilo eneo kuna kituo,so obvious huwezi sema eti boda boda au bajaji zisiwepo.
wanafuata sisi abiria tubadilike sisi abiria kusogea kituoni kwanzaKingine ni Boda boda na Bajaji kupaki kando ya Barabara hawana Utaratibu
Halafu wakose siti! Mkuu, hujawahi kupanda daladala nini?Kwa fikra zangu nafikiri vitu vya daladala viwe kama extensions pembezoni mwa barabara kuu na watu wasogelee eneo la kupandia endapo tu gari imeshafika ila kwa waiting time wakae pembeni kabisa ya kituo
Basi wahi siti uzolewe na HOWO iliofeli breki uwahi siti ya peponiHalafu wakose siti! Mkuu, hujawahi kupanda daladala nini?
Gari ikifeli breki tuta halisaidii!!Yaaani hata kama sheria hairuhusu inabidi tu waweke matuta potelea mbali kupunguza hizi ajali, maana hapo barabara hazijakamilika zote, ikikamilika si ndio itakuwa balaa zaidi
Pole nyingi ziwafikie wahanga na wafiwa