Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
pale pana kivuko cha juu lkn watu wanaona uvivu kutumiaBwana ametoa bwana ametwaa.. Waliotangulia wafike salama,sehemu ingine ambayo ni hatari ni pale mbezi stendi kwa nje stendi y dalaldala,
kweli kabisa tumeshauri option nyingine zitakazoweza saidia kupunguza ajali ikiwemo madaraja vivukoGari ikifeli breki tuta halisaidii!!
Lini watanzania tutatambua hili ..GOD knows!Freeways ,pedestrians SIO eneo lao isipokua kwenye sehemu zilizotengwa tu,binafsi nina wasiwasi mno kuwa ile barabara imejengwa isivyo yaani bila ya kufuata sheria zinazotakiwa kwenye ujenzi wa highways ..but this its a debate for another day.Barabara ile inataka vivuko vya underground ama vya juu kama cha Buguruni bila hivyo kipigo kiko palepale. Waweke wavu katikati kama ule wa kimara mwisho ambao utawalazimisha watu wavukie juu tu hamna namn ingine.
Highway sio sehemu ya kujaza mataa ama matuta pamoja na watu kuzagaa pembezoni kwa namna yeyote ile
ajabu!Anahusika nini?