Kimasihara sana!. Hatimae ninafikisha nguruwe 50 ndani ya miezi 18

Ni kweli kabisa ndugu lakini hatupaswi kuihofia kiasi cha kuacha kupambania fursa. Mimi imegusagusa this year, nime-feel flavour yake ila kwa namna Hawa viumbe walivyo "prolific" aisee. Nothing to fear.
Sahihi mkuu
 
Hivi ni njia bora ya kuanza ufugaji wa nguruwe.?
Kuanza na majike wakubwa wenye mimba au kununua vitoto!
Njia zoote ni nzuri inategemeana na uwezo wako kwakua kuna implication kwenye kila approach hapo.

Kuanza na/kununua vitoto means;
Mtaji mdogo
Muda mrefu wa kutunza hivyo muda mzuri wa ku observer na kujifunza kwa undani kuhusu ufugaju hata utakapopata vitoto mbele ya safari utajua nini kinatakiwa kufanyika.
Itakupa kuona hatua kwa hatua namna ya ku plan na ku stock chakula kwa kufaham ongezeko la matumizi ya chakula kwa kila stage anayopita nguruwe.
Kwakua ni watoto means utajifunza kuhusu magonjwa na chanjo kwa kila changamoto kulingana na ukuaji. Kifupu ukianza na vitoto mpaka nguruwe anakua mkubwa utapata fursa ya kujifunza kila kitu kuhusu mufugo yako.

Kuanza na nguruwe wakubwa wenye mimba, means utahitaji capital kubwa zaidi lakini pia utakosa fursa ya kuwajua nje ndani kuhusu ukuaji wao
 
Shukrani mkuu,
 
Back
Top Bottom