luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
Dawa ni kuitoa ccm madarakani kwa njia yoyoteWatu wenye akili kama wewe ccm huwa haiwasikilizi, inachowaza ccm ni uchaguzi wa 2025, yaani acha tu hizo ndege 4 ulizotolea mfano kwamba wangeacha kuzinunua fedha yake ingesaidia pakubwa sana, kuna magari ya washawasha yalinunuliwa mwaka 2015, yale magari yaligharimu mabilioni ya shilingi na hayakuwahi kufanya kazi yeyote, yaani yale mabilioni ya fedha zetu za jasho la kodi zimewekwa pale zimelala bure tu, ccm ndio inapenda kuwa na genge kubwa la vijana wacheza beti ili iwe rahisi kuja kuwatumia kuhujumu uchaguzi kwa kuwapa tshirt na shs 10,000 kila mmoja, Nikupongeze saana mkuu kwa mawazo yako mazuri
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app