Kimboka, Sudan, Sokota cha mtoto, hata Sodoma na Gomorrah yenyewe haifui dafu kwa mtaa huu

Dawa ni kuitoa ccm madarakani kwa njia yoyote

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu buku ni noma huko
 
Hahaha, ili ugundue nini mzee?[emoji16][emoji16][emoji16]

Ndoa ni jambo jema, ukijua kuwa jamii bora inaanzia kwenye familia bora lazima utabadilisha huo msimamo.
Kweli kabisa mie napenda sana ndoa na nina heshimu sana ndoa, maana niliona kwa wazazi wangu namna walivyo ishi kwa upondo na raha ndoa yao kwangu ilikuwa shule nzuri sana, la mie nitoleee hiyoo 🙂🙂🙂 imeisha bounce kama sikuumbwa kwa ajiri ya ndoa kama ambabyo wengine hawajaumbwa kuwa matajiri
 
Ni wazee wenye hela zao chafu, ila tabia mbaya sio vijiwe vya choka mbaya asee.. maana ukifika ukiona machine walizopaki kama unatamaa umeisha tayari, wanapiga kama mashindano ni sehemu ya burudani yao.. Na siwaungi mkono pia.

Maisha yana misingi yake, unaweza chagua aina gani ya msingi ila kuna athari. Mwisho wa siku tupendane maana kama tunapenda hatuwezi tendeana maovu
 
Muwe mnaacha unoko! Starehe na biashara ya watu wengine inakuwashaaa! Kwanini usikae kimya tu! Nani kakuuliza!? Nyinyi ndio wale wale midume suruali!

Hakukuwahi kuwapo na patrol huku, hata siku moja umesababishia watu hasara!....nyau wewe!!!.
 
Nawahurumia Sana vijana wangu. Mungu awape ufahamu.
Tuzidi kuombeana. Kudanga ndio imekuwa first option siku hizi. Hata kwan usiowategemea. As a resul, nako kumeingiliwa mno. Hakuna bei. Mambo yamerahisishwa mno.
Maisha haya bila kuwa na kazi inayoeleweka yakufanya, huwa yana majuto sana
 
Point ya msingi sana hii kwa dada zetu, ukikosa kipato halali au kazi ya kufanya, lazima utaishia huko siju moja.
 
Point ya msingi sana hii kwa dada zetu, ukikosa kipato halali au kazi ya kufanya, lazima utaishia huko siju moja.
That is it...maisha yanataka ule, ulee watoto na uendeshe maisha. Bila kazi itawezekana vipi?
 
That is it...maisha yanataka ule, ulee watoto na uendeshe maisha. Bila kazi itawezekana vipi?
Inakuwa ngumu mkuu.Na wengi wanafnya wasomi wanawake kutokana na ukosefu wa ajira na wengine tamaa tu.ushaur wako n nn kwa wasomi wadangaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…