Kimboka, Sudan, Sokota cha mtoto, hata Sodoma na Gomorrah yenyewe haifui dafu kwa mtaa huu

Sandali Ali utakua una undugu na SHETANI BABA WA UONGO yaan wewe ni MUONGO shetani anachukua lecture kutoka kwako umbwa wewe ni MUONGO alafu sijui unatuona humu wote sisi ni watoto km wewe?
 
Ni kweli, si unasoma hapa jinsi watu walivyohamasika na kutaka kulijua hilo eneo husika?!!
 
Hao Malaya waachwe maana wanasaidia sana kupunguza vitendo vya ULAWITI na Ubakaji.

Ukiwaondoa hao Malaya wa bei nafuu tegemea watoto mtaan na wadada kubakwa zaidi ya hivi sasa.

Fikiria kwa upana muktadha huu.
 
Serikali inatambua wapo na hawawez pelekwa mashambani kama unavyowaza ww kama unajishughulisha fanya maisha yako mengine yatakutesa nafsi tu
 
Wazo zuri sana ila sema tu wakifika huko kazi yao itakua wanawapa wafanyakazi ili wanye kazi bila malipo kwahyo mchezo mchafu bado utakuwa unaendelea tu palepale
 
Mkoa wa pwani hapa mjini kibaha hizi huduma zinapatikana wapi?
Bei elekezi?
 
Mtaani kwangu kufika Ndio Njia hii hii ... sema Ndio leo napasikia 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…