Kimboka, Sudan, Sokota cha mtoto, hata Sodoma na Gomorrah yenyewe haifui dafu kwa mtaa huu

Kimboka, Sudan, Sokota cha mtoto, hata Sodoma na Gomorrah yenyewe haifui dafu kwa mtaa huu

Sandali Ali utakua una undugu na SHETANI BABA WA UONGO yaan wewe ni MUONGO shetani anachukua lecture kutoka kwako umbwa wewe ni MUONGO alafu sijui unatuona humu wote sisi ni watoto km wewe?
 
Umalaya ni mtu kukumbwa na roho chafu au kuuza nafsi yako kwa shetani na sio sababu ya ugumu wa maisha.

Malaya hata umpe mtaji wa milioni 30 zitaisha baada ya miezi 3 na ataendelea kuuza. Ni Sawa na kibaka au mwizi hata umpe milioni 100 zitaisha kwenye starehe ataendelea na wizi.

Hayo ni ishu ya maadili zaidi na sio umasikini. Pana watu Wana maisha magumu zaidi yao lakini awajiuzi wala awaibi.
Ni kweli, si unasoma hapa jinsi watu walivyohamasika na kutaka kulijua hilo eneo husika?!!
 
Hao Malaya waachwe maana wanasaidia sana kupunguza vitendo vya ULAWITI na Ubakaji.

Ukiwaondoa hao Malaya wa bei nafuu tegemea watoto mtaan na wadada kubakwa zaidi ya hivi sasa.

Fikiria kwa upana muktadha huu.
 
Serikali inatambua wapo na hawawez pelekwa mashambani kama unavyowaza ww kama unajishughulisha fanya maisha yako mengine yatakutesa nafsi tu
 
Kuna mtaa huko Tandika maeneo ya Davis corner hatari.

Sehemu za nyuma mabinti wanauza mpaka kwa sh. Elfu 1. Yaani ile afutatu unapata mademu 3 unawafanya sehemu za nyuma .

Serikali iwaondoe Mijini vijana wote wa kike na kiume wasio na kazi rasmi.

Iwapeleke kwenye mashamba maalumu ya kimkakati. Uhitaji wa chakula barani Afrika na duniani bado ni mkubwa.

Tumeshindwa kwenye Sayansi na teknolojia ili kukuza viwanda basi tujikite kwenye kilimo ambacho hakihitaji utaalamu wa juu sana.

Hawa mabinti wanaouza kwa elfu moja na vijana wanaobeti kisha wakipata pesa wanaenda kuzini wahamishwe Mijini.

Kila kijana akipewa ekari 2 vitendea kazi na ruzuku ya mbolea pamoja na pesa ya kula awapo shambani bila kusahau kuwaajiri maafisa ugani ambao watakuwa wanapita shamba hadi shamba.

Nchi itasonga mbele, vijana watasonga mbele.

Wawekezaji wataweka viwanda nchini wakiwa na uhakika wa malighafi.

Fedha za kununua ndege 4 tu za abiria zingechepushwa kwa kuanzisha mashamba ya kimkakati taifa hili lingemiliki soko la chakula barani Afrika.
Wazo zuri sana ila sema tu wakifika huko kazi yao itakua wanawapa wafanyakazi ili wanye kazi bila malipo kwahyo mchezo mchafu bado utakuwa unaendelea tu palepale
 
Mkoa wa pwani hapa mjini kibaha hizi huduma zinapatikana wapi?
Bei elekezi?
 
Mtaani kwangu kufika Ndio Njia hii hii ... sema Ndio leo napasikia 😂
 
Back
Top Bottom