Kimboka, Sudan, Sokota cha mtoto, hata Sodoma na Gomorrah yenyewe haifui dafu kwa mtaa huu

Wazo zuri
 
Nimeka taarifa yako haina Ukweli .Machangu wenyewe wa kutafuta
 
Hivi wanaume kwa comments hizi mnamaanisha au mnatania?? Yani inamaana mna huge demand ya makalio kiasi hiki??? Aiseee inasikitisha sana... Mungu aturehemu
Halafu ndiyo hao wanao tukana wanawake kila kukicha wanatabia mbaya, hivi mnunua hao akina dada poa ana muda wakumbembeleza mkewe kweli? Si ile mke skununa kidogo naye anasusa na ndevu zake kumbe anaenda huko!
 
Yaani mpaka nimesikitika unavyoongea kana kwamba umefukuzwa kazi! Nakupa pole ya moyo
 
Mm niko temeke Sudan ila hakuna mambo Kama hayo

Kuna demu wangu anaitwa asha billa elf 20 humbandui Yuko Sudan tandika Kama unaenda chuo Cha utalii
Namba zake za simu plz nitumie Pm
 
Siwezi kununua malaya hata iweje
Kuna mwenzio alikuwa akiambiwa na mkewe atulie hilo ndilo jibu lake, siku ya siku kahaba kaibuka eti na mimba yake haaaa aibu aliyoipata hatakuja kuisahau, maana kahaba mwenyewe mdomo wake choo cha soko
 
Halafu ndiyo hao wanao tukana wanawake kila kukicha wanatabia mbaya, hivi mnunua hao akina dada poa ana muda wakumbembeleza mkewe kweli? Si ile mke skununa kidogo naye anasusa na ndevu zake kumbe anaenda huko!
Kweli kipenzi tuwaombee
 
Kuna mwenzio alikuwa akiambiwa na mkewe atulie hilo ndilo jibu lake, siku ya siku kahaba kaibuka eti na mimba yake haaaa aibu aliyoipata hatakuja kuisahau, maana kahaba mwenyewe mdomo wake choo cha soko
Kwa hapa nilipofika, kwa umri nilionao...narudia siwezi kununua malaya! Labda hawa wa "indirect"!
 
Hii taarifa umefanya makosa kuketa humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…