Uchaguzi 2020 Kimbunga cha Lissu chaingia Muheza Tanga

Siku hazigandi tarehe 28/10/2020 siyo mbali, tarehe hiyo ndiyo siku rasimi ya kukata ngebe za huyu mke wa mabeberu.

Tafadhari time ya uchaguzi nawaomba kwa dhata kabisa msipokee pingamizi lolote lile dhidi ya huyu jamaa, Huyu jamaa tunataka tumuadhibu kwenye sanduku la kura .
 
16 August 2020
Tanga, Tanzania

Mji uliopoteza viwanda kwa wingi chini ya CCM

Kishindo kipi zaidi ya propaganda Lissu hajafikia hata robo ya watu waliokuwa wanamsapoti Lowassa .

Aongee asiongee lakini kuwa Rais wa nchi hii asahau kabisa.
 
kwani kampeni zimeanza asubiri msumari wa tarehe 25 toka NEC
 
Wenye maamuzi nani aende ikulu ni sis wananchi, na ndio tunaojua tunayempeleka atatufanyia nini huko ikulu, tusilazimishane tafadhari.
 
Kimbunga kisichobomoa nyumba au kung'oa mti?
 
Huyu Kamanda hachoki yaani bado yumo tu.
 
Bado munaamini kwenye siasa za mafuriko? Muulizeni Slaa na Lowassa. Ccm itashinda asubuhi tu.
Mbinu za uwizi wa kura hizi......enzi za JK mazao yalikuwa na bei bora hasa korosho na mbaazi, watumishi wa umma walikuwa wanapanda madaraja na nyongeza ya kila mwaka na biashara ya ndani na nje ilikuwa inashamiri. Hayo sasa hayapo, lazima kufanya maamuzi mazito kama nchi! Acha na ndot o za akina Lowasa na Slaa
 
Hii ni laana. Jitu linakula mahari ya mama yake aliye kitandani amepooza halafu bila aibu linatangaza hadharani. Busara za wapi hizi? Tulikosea Sana miaka 5 iliyopita. Miaka 5 ijayo haturudii kosa. URAIS bila hekima Ni dhihaka.
Akirudi utafanya je
 
kimbunga hapana chezea kitasomba kwelikweli mwaka huu , maana moto uwashwa kidogo je ukilipuka sijui kimbunga kitpewa jina gani ,hatari sana
 
Hotuba za Lissu Ni darasa tosha.Jamaa anajua kueleza,anaeleza Jambo kwa Lugha rahisi inayoeleweka na inayoshawishi.
Nakuhakikishia kwa kura halali Lisu anamng'ao jiwe.
Kitakachoiokoa CCM Ni kura za maruhani.Na hiyo itategemea Wapinzani wamejipanga vipi.
Maana Huko Zanzibar Maalim anasema enough is enough,huku bara Lisu anasema haibiwi mtu safari hii.
 
Maneno muruwa Kama maji ya kunywa
Lisu fundi,karudi kufundisha,mtaalamu wa sheria na maneno,Jamaa anajua kueleza Jambo,anajua historia,anajua kushawishi,anajua kujenga hoja.
Safari hi dunia inaenda kushuhudia maajabu.
Jiwe tupa kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…