Uchaguzi 2020 Kimbunga cha Lissu chaingia Muheza Tanga

Uchaguzi 2020 Kimbunga cha Lissu chaingia Muheza Tanga

Leo Mgombea uraisi wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya kufanikiwa kupata zaidi ya wadhamini 6000 huko Same, Leo alipita Muheza mkoani Tanga.

Kama kawaida akaendelea kugawa dozi ya elimu ya mambo ya uraia kwa wananchi wa Tanga.

Huku wakimsikiliza kwa makini, na kwa kuyatafakari maneno yake, Mheshimiwa Lissu ameelezea uhusiano wake na mkoa wa Tanga ambapo anasema ndiko alipopatia elimu yake ya kidato cha tano na sita mwaka 1987 hadi 1989 katika shule ya sekondari ya Galanos.

Unaweza kumsikiliza hapa akiwaeleza wananchi juu ya magumu ambayo nchi hii imepitia chini ya utawala uliofeli kila idara wa CCM

Daah, ashaanza kuwa mpole, hii no baada ya kujipnea mwenyewe kwenye misafara yake Jinsi ilivyo kinyume na matarajio yake ya awali
 
Hivo nyie mjaona mabadiliko ya hotuba za lissu, ama amechoka, au mambo hayako uzuri.

Lissu hana ile bashabasha aliyokuwanayo, alipoanzia DDM na alipofika Singida, baada ya hapo, sura yake na Mbowe hazikuwa zenye furaha, ni kama watu waliochoka sana, tusiwalaumu kwani wote ni nusu walemavu.
 
Lissu hayuko kuuza sura yuko kikazi!

Si kila muda ni muda wa kucheka!
 
Leo Mgombea uraisi wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya kufanikiwa kupata zaidi ya wadhamini 6000 huko Same, Leo alipita Muheza mkoani Tanga.

Kama kawaida akaendelea kugawa dozi ya elimu ya mambo ya uraia kwa wananchi wa Tanga.

Huku wakimsikiliza kwa makini, na kwa kuyatafakari maneno yake, Mheshimiwa Lissu ameelezea uhusiano wake na mkoa wa Tanga ambapo anasema ndiko alipopatia elimu yake ya kidato cha tano na sita mwaka 1987 hadi 1989 katika shule ya sekondari ya Galanos.

Unaweza kumsikiliza hapa akiwaeleza wananchi juu ya magumu ambayo nchi hii imepitia chini ya utawala uliofeli kila idara wa CCM

CHADEMA NAOMBA KWENYE SLOGAN ZENU ......ONGEZEN .... NENO [ KIMBUNGA 2020]
 
Tanga, Tanzania

Sheikh Makarama atetea Maendeleo ya Vitu

Sheikh maarufu wa jiji la Tanga atetea sera za mgombea wa CCM Urais Mh. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuegemea na kuleta Maendeleo ya Vitu kama miundo mbinu ya barabara, reli, bandari na kuuliza ni kitu gani kingine wanaTanga kitawafanya wamtupe Mh. Magufuli 2020.

Sheikh Hassan Makarama adai kwa Tanga wameridhika na itakuwa ngumu mtu mwingine jijini Tanga kupata wadhamini wa kumbeba kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sheikh Makarama asema wakaazi wa mji wa Tanga hawawezi kukaa mabarabarani kupigwa / kuungua jua na mvua kumsubiri mpinzani wa Mh. John Pombe Joseph Magufuli.

Sheikh Khassan Makarama amesema sasa Tanga shule zimekuwa nyingi kuliko madrasa . Sheikh Makarama ampongeza Augustine Lyatonga Mrema kwa kumpendekeza Magufuli kuwa mgombea wa urais kupitia 'TLP' .

Sheikh Khassan Makarama hata hivyo amehitimisha hotuba yake kwa kumpongeza Tundu Lissu kwa ushupavu wake.

Mdomo kama kapaka kinyesi pambavuuu!! Akachukue fomu tujue moja!
 
Hii ndomaana liliwekwa somo LA civic au general study hadi chuokikuu ili watu wajue elimu ya uraia nadhani Lissu kawa mwalimu wa Tanzania nzima ktk somo LA uraia
 
Mwaka huu kazi mnayo punda nyie!
Kazi Ni nyepesi kama kumfuga msukule tu
FB_IMG_1596790033084.jpg
 
Li
Hotuba za Lissu Ni darasa tosha.Jamaa anajua kueleza,anaeleza Jambo kwa Lugha rahisi inayoeleweka na inayoshawishi.
Nakuhakikishia kwa kura halali Lisu anamng'ao jiwe.
Kitakachoiokoa CCM Ni kura za maruhani.Na hiyo itategemea Wapinzani wamejipanga vipi.
Maana Huko Zanzibar Maalim anasema enough is enough,huku bara Lisu anasema haibiwi mtu safari hii.
Lissu anajua bwana
 
Back
Top Bottom