Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Vipi zile story za "jogoo oyee!" au "jee nyinyi mnataka kupanuliwa?" Watanzania bado wanahamu ya kuzisikia?Huyu jamaa kila neno analoongea linatafakarisha na ni chakula cha ubongo!
Yaani Lissu sasa anawazindua watanzania kutoka katika usingizi mzito wa propaganda za Magufuli na chama chake!
Au muzee abadilishe upepo na kuanza kumwaga hizi za "I'm politishen i don't want so machi wed .."?