Kimbunga cha moto kinaelekea Israel, raia wa Jordan, Saudia na Israel wamejifungia majumbani.

Israeli amepigana vita toka 1948

hakuna kipya iran itafanya kwa Israel

itajikakamua Ila itarud mezani kufanya makubaliano
Sasa mbona ameomba usaidizi wa Marekani?!

Wewe unazungumzia vita ya mwaka 48, wakati Iran ishapigana vita ya zaidi ya miaka elf 2 huko na bado haijawahi kushindwa. We tulia uone Israel itavyotubu.
 
Niaje waungwana

Habari ndio hii wakuu, dakika 20 from now, Tel Aviv, Jerusalem na miji mingine ya Israel inakwenda kugeuzwa takataka na majivu.

Update: Tel Aviv ameanza kuwaka moto. Inasemekana Netanyahu ashatorosha familia yake kabisa.

Na bado asuburi wamalize kufuturu, leo hakuna mtu atakaelala usingizi usiku Israel nzima.
Ukisikia kuishiwa

Ukisikia kuishiwa akili ndiyo huku. Wenzako wenye akili timamu wanaleta habari kamili, wewe unaleta hisia!
 
Sasa mbona ameomba usaidizi wa Marekani?!

Wewe unazungumzia vita ya mwaka 48, wakati Iran ishapigana vita ya zaidi ya miaka elf 2 huko na bado haijawahi kushindwa. We tulia uone Israel itavyotubu.
Hakuna jipya apo Ayatollah anakamuliwa mavi🤣🤣🤣
 
Wewe unazungumzia mwaka 1948 wakati Iran iliiangusha babylon zaidi ya miaka 2500 iliyopita.

Vipi aisee?
Iran iliyoangusha Babylon sio hii inayomuabudu mwamed kipenz Cha bint ashura wa miaka 9😁😁 ..
wale wapersia wa zamani ni tofaut na Hawa ******* walioshikwa akili na gaidi Ayatollah
 
Niaje waungwana

Habari ndio hii wakuu, dakika 20 from now, Tel Aviv, Jerusalem na miji mingine ya Israel inakwenda kugeuzwa takataka na majivu.

Update: Tel Aviv ameanza kuwaka moto. Inasemekana Netanyahu ashatorosha familia yake kabisa.

Na bado asuburi wamalize kufuturu, leo hakuna mtu atakaelala usingizi usiku Israel nzima.
Ubaya wa vita anayekuanza anakuwa amejiandaa na hasara atakayoipata na anakuwa emepanga pa kutokea. Unayevamiwa unakuwa unarusha mateke tu ili kujinasua na unakuwa hujajiandaa sehemu ya kutokea.
 
Niaje waungwana

Habari ndio hii wakuu, dakika 20 from now, Tel Aviv, Jerusalem na miji mingine ya Israel inakwenda kugeuzwa takataka na majivu.

Update: Tel Aviv ameanza kuwaka moto. Inasemekana Netanyahu ashatorosha familia yake kabisa.

Na bado asuburi wamalize kufuturu, leo hakuna mtu atakaelala usingizi usiku Israel nzima.
Hatari ...
 
Asante kwa taarifa
 
God Bless Iran
Qatar, Bahrain, Saudia na washenzi wengine wapo kwenye attack sasa hivi. Mohamed Bin Selman kaambiwa akijifanya kuegemea upande wataangusha vijumba vyake vinavyompa kiburi cha kuonea waarab wenzake.
Screenshot_20260228-120606.png
Screenshot_20260228-115949.png
 
Back
Top Bottom