Kimbunga cha moto kinaelekea Israel, raia wa Jordan, Saudia na Israel wamejifungia majumbani.

Kimbunga cha moto kinaelekea Israel, raia wa Jordan, Saudia na Israel wamejifungia majumbani.

Mbona kama unafurah sana mkuu kwann una furaha hivo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwa sababu tulizoea kulishwa matango pori kuhusu taifa teuli kutorushwa hata jiwe.

Sasa twajionea wenyewe kila siku wanavyotwangwa hata kama wao ndio walianzisha vita mwisho was siku anaemaliza hiyo vita ni Iran tena kwa kuombwa na kubembelezwa.
 
Iran bado hajafanya kisasi chochote...
Tayari huko mkuu, we unamjua Ayatollah vizuri mkuu. Huwa hachachishi kitu, ukianzisha na yeye anajibu hapo hapo.
Screenshot_20260228-115949.png
Screenshot_20260228-120551.png
 
Ubaya wa vita anayekuanza anakuwa amejiandaa na hasara atakayoipata na anakuwa emepanga pa kutokea. Unayevamiwa unakuwa unarusha mateke tu ili kujinasua na unakuwa hujajiandaa sehemu ya kutokea.
Kwa akili yako vita hii Iran ilikuwa haijajiandaa?
Lakini hata hivyo mbona ile vita ya siku 12 waliojiandaa ndio walioomba vita iishe baada ya kupokea kichapo ambacho walikuwa hawakukitaraji?

Hebu angalia Netanyahu unaesema alijipanga jinsi alivyokufa siku ile!

Vita inategemea na nchi unayoivamia iko vipi kijeshi. Ayatollah sio Maduro na Iran sio Venezuela.
downloadfile(3).jpg
downloadfile(4).jpg
downloadfile(5).jpg
 
Je Iran anaweza shambilia hizo kambi zote za us Mashariki ya kati? hizo nchi zitakazoshambuliwa nazo zitaingia kwenye mgogoro huo including Saudi arabia. Ngoja tuone game itavochezwa
 
Je Iran anaweza shambilia hizo kambi zote za us Mashariki ya kati? hizo nchi zitakazoshambuliwa nazo zitaingia kwenye mgogoro huo including Saudi arabia. Ngoja tuone game itavochezwa
Hao wote Iran anawamudu vizuri tu mkuu.
 
Kwa sababu tulizoea kulishwa matango pori kuhusu taifa teuli kutorushwa hata jiwe.

Sasa twajionea wenyewe kila siku wanavyotwangwa hata kama wao ndio walianzisha vita mwisho was siku anaemaliza hiyo vita ni Iran tena kwa kuombwa na kubembelezwa.
Matango pori ya taifa teule kwa sisi wamatumbi yaneshatuvimbisha matumbo ni kujamba tu
 
Matango pori ya taifa teule kwa sisi wamatumbi yaneshatuvimbisha matumbo ni kujamba tu
Tayari Netanyahu ashasalimiwa muda mchache uliopita. Iran inasema kuwa shambulizi hilo ni la kulegeza na kutepetesha mifumo mibovu ya ulinzi ya bibi na babu yake Trump. Kisha kipigo kitakuja baadae kwa muda wao watakaoona unafaa
Screenshot_20260228-124816.png
 
FB_IMG_1772279147926.jpg

"Ninawaambia watu wa Iran: saa ya uhuru wenu imekaribia. Kaeni salama. Msitoke nyumbani kwenu. Ni hatari sana nje. Mabomu yatadondoshwa kila mahali. Tutakapomaliza, chukueni serikali yenu. - Donald Trumps anawaambia Wairani
 
Hivi karibuni kulikua na tatizo la mafuta sasa tusubirie kilio cha jongoo
Njia muhimu za mafuta zimefungwa, huku Houth wakidhibiti eneo linalopita meli mbali mbali. Wametangaza meli itakayokatiza hapo itageuzwa majivu. Hii inaitwa mwana kulitafuta, mwana kulipata.
 
Back
Top Bottom