Kimbunga Katrina kilikuwa na speed ya 174MPH, Kimbunga Jobo kitapiga kwa speed ya 30MPH, je , kuna haja ya kupoteza muda kukijadili?

Kimbunga Katrina kilikuwa na speed ya 174MPH, Kimbunga Jobo kitapiga kwa speed ya 30MPH, je , kuna haja ya kupoteza muda kukijadili?

Kama hicho kimbunga kitakuja, basi kuna mtu humu atajiita hilo jina.

Ni utabiri tu.
 
Hivi ni nani anatoa majina ya hivyo vimbunga?

Sumu aliyoiacha Hayati ni kimbunga tosha hapa Tanzania
 
Tangu lini maeneo ya tropicla yakapigwa na vimbunga?
Pambaneni na kivuli cha meko tu sasa hivi
Upo sahihi mkuu sisi ukanda wa tropical joto linatubeba Sana. Kimbunga hata kikija kwa kasi kwetu kitapungua sababu kwenye joto mgandamizo wa hewa ni mdogo.

Na kikifika tropical areas kinapungua kasi, sababu huwa kinaanzia sehemu yenye mgandamizo mkubwa(High Pressure) kwenda maeneo ya low pressure sasa hata kama kilikuwa kinafika mbali kikipita ukanda huu wa tropical wenye joto hupungua nguvu.
 
 
Back
Top Bottom