Kimbunga Katrina kilikuwa na speed ya 174MPH, Kimbunga Jobo kitapiga kwa speed ya 30MPH, je , kuna haja ya kupoteza muda kukijadili?

Kimbunga Katrina kilikuwa na speed ya 174MPH, Kimbunga Jobo kitapiga kwa speed ya 30MPH, je , kuna haja ya kupoteza muda kukijadili?

Upo sahihi mkuu sisi ukanda wa tropical joto linatubeba Sana. Kimbunga hata kikija kwa kasi kwetu kitapungua sababu kwenye joto mgandamizo wa hewa ni mdogo.

Na kikifika tropical areas kinapungua kasi, sababu huwa kinaanzia sehemu yenye mgandamizo mkubwa(High Pressure) kwenda maeneo ya low pressure sasa hata kama kilikuwa kinafika mbali kikipita ukanda huu wa tropical wenye joto hupungua nguvu.
Sio kweli. Kimbunga (Tropical Cyclone). Kinachotubeba sisi wala sio joto. Kwanza Joto likiwa kubwa ndo one of the requirement za vimbunga. Sisi kinachotubeba ni tupo karibu na equator ambapo coriolis force ni ndogo sana. Coriolis force ndio nyenzo kubwa ya kuvizungusha vimbunga
 
 
Back
Top Bottom