Kimbunga Kikali cha Freddy kinaelekea Afrika Mashariki

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Kimbunga ambacho kimesafiri zaidi ya maili 2,500 katika Bahari ya Hindi kina uwezekano wa kufika Ukanda.

Kimbunga cha Tropiki Freddy kilifika katika Pwani ya Kusini ya Indonesia, mwezi huu Februari na kusababisha dhoruba kutokana na upepo mkali wa kasi ya 165 mph.

Umoja wa Mataifa (UN) umesema kuwa kimbunga hicho kinaweza kuathiri watu zaidi ya milioni 2 na kinaweza kusababisha mawimbi makubwa baharini, mafuriko na upepo mkali.

Wakati Kimbunga Freddy kikikaribia Madagascar, Kituo cha Utabiri cha FOX kimesema kinaweza kupungua nguvu kwa kadiri kinavyoelekea mbele, pamoja na hivyo Nchi za Tanzania na Afrika Kusini zinafuatilia kwa ukaribu mwelekeo wa kimbunga hicho.

Freddy.JPG

----------- ------------------

Seen from space: Intense Tropical Cyclone Freddy sets sights on eastern Africa

A cyclone that has traveled more than 2,500 miles over vast open regions of the Indian Ocean could one day threaten eastern Africa as a powerful cyclone as the area continues to clean up from what has already been a busy tropical season.

Tropical Cyclone Freddy formed off the southern coast of Indonesia in early February and strengthened into a significant storm with maximum sustained winds at 165 mph. If ranked on the Saffir–Simpson Hurricane Wind Scale, the cyclone would have been labeled as a Category 5, capable of catastrophic damage.

The United Nations said two million people are bracing for what could be the strongest cyclone in more than a decade.

“The risk for dangerous storm surge, flooding and strong and damaging wind is increasing by the minute, and we’re terribly worried for families and children living on the storm path. We know more than two million people, including one million children, are facing increased danger as the storm gathers speed,” Tatiana Dasy, director of Save the Children’s Programme in Madagascar, said in a statement.

As Freddy approaches Madagascar, the FOX Forecast Center expects the cyclone to significantly weaken from its current state.

Several other African nations along the coast from Tanzania to South Africa are monitoring the storm’s progress for potential impacts from flooding.

Source: New York Post
 
Mlikuwa mnalalamikia mahindi na Michele kupanda bei....haya jiandaeni kufariki huko daslama.
 
Vimbunga vya majina ya kiume,madhara yake huwa ni kiasi kidogo,ukilinganisha na vyenye majina ya Kike
 
Kama kaunabii kanataka kutimia
Kama hawatawatafuta wote waioumizwa na kudhulumiwa mali zao za halali na Magufuli na ndugu zake na vimada wake na maofisa wake wote wakawaomba msamaha hiyo nchi ina laana kubwa sana na watahangaika sana kujidanganya kuwa sijui mabeberu au etcetera lakini they need to acknowledge the fact that Magufuli and his official did wrong to people and apologize
 
Kimbunga ambacho kimesafiri zaidi ya maili 2,500 katika Bahari ya Hindi kina uwezekano wa kufika Ukanda.

Kimbunga cha Tropiki Freddy kilifika katika Pwani ya Kusini ya Indonesia, mwezi huu Februari na kusababisha dhoruba kutokana na upepo mkali wa kasi ya 165 mph.

Umoja wa Mataifa (UN) umesema kuwa kimbunga hicho kinaweza kuathiri watu zaidi ya milioni 2 na kinaweza kusababisha mawimbi makubwa baharini, mafuriko na upepo mkali.

Wakati Kimbunga Freddy kikikaribia Madagascar, Kituo cha Utabiri cha FOX kimesema kinaweza kupungua nguvu kwa kadiri kinavyoelekea mbele, pamoja na hivyo Nchi za Tanzania na Afrika Kusini zinafuatilia kwa ukaribu mwelekeo wa kimbunga hicho.

View attachment 2522765
----------- ------------------

Seen from space: Intense Tropical Cyclone Freddy sets sights on eastern Africa

A cyclone that has traveled more than 2,500 miles over vast open regions of the Indian Ocean could one day threaten eastern Africa as a powerful cyclone as the area continues to clean up from what has already been a busy tropical season.

Tropical Cyclone Freddy formed off the southern coast of Indonesia in early February and strengthened into a significant storm with maximum sustained winds at 165 mph. If ranked on the Saffir–Simpson Hurricane Wind Scale, the cyclone would have been labeled as a Category 5, capable of catastrophic damage.

The United Nations said two million people are bracing for what could be the strongest cyclone in more than a decade.

“The risk for dangerous storm surge, flooding and strong and damaging wind is increasing by the minute, and we’re terribly worried for families and children living on the storm path. We know more than two million people, including one million children, are facing increased danger as the storm gathers speed,” Tatiana Dasy, director of Save the Children’s Programme in Madagascar, said in a statement.

As Freddy approaches Madagascar, the FOX Forecast Center expects the cyclone to significantly weaken from its current state.

Several other African nations along the coast from Tanzania to South Africa are monitoring the storm’s progress for potential impacts from flooding.

Source: New York Post
Kipindi hiki kimepewa jina la kiume Freddy tuwe waangalifu
 
Kama hawatawatafuta wote waioumizwa na kudhulumiwa mali zao za halali na Magufuli na ndugu zake na vimada wake na maofisa wake wote wakawaomba msamaha hiyo nchi ina laana kubwa sana na watahangaika sana kujidanganya kuwa sijui mabeberu au etcetera lakini they need to acknowledge the fact that Magufuli and his official did wrong to people and apologize
Si yeye tuu wapo wengi sana,haki hakuna ,Kama taasisi zinazitoa haki hazitoi Ni Nani atoe?
 
Back
Top Bottom