KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

I think it was brilliant. Made millions off Lemonade and a tour too sheesh i wouldve done the same. People are sooo gullible. They can
do what they want its their life lol.
 
Wasalaam.....



diamondplatnumz

19120464_310923832691059_7930324428192219136_n.jpg



NB: Hadi sasa Mange hajasema lolote kuhusu post hii mpya ya Diamond.
 
Haya maisha ya insta shida sana sasa alishindwa kumpigia simu akamtolee povu mpaka aweke comments insta ??
Mambo hadharani...Sasa angempigia simu tungepata wapi cha kujadili Acha roho mbaya
 
Bwa! Ha! Ha! Ha!

Dah...mazee umenichekesha sana.

Unajua sikuwa nategemea kuona mambo ya 'Mange keshasema' huku [sijui hata kwa nini].

Nimecheka hadi nimepaliwa na hii waffle nnayoila hapa.

Ila kama Mange keshasema ndo basi tena...huo ndo ukweli wenyewe.

😀😀😀😀😀😀
Nimecheka sana aiseeeee!!!!!!!!!!!!
 
Kick tu bwana harmo kavua..ma Sana na Sara boss kaona noooo he have to do something ndio hivyo
 
Eeeeeeh

Diamond kawajibu wapenda udaku, ila nae kachemsha sana leo ndio wivu gan anatuletea tujue ya ndani...kiki mbovu
Anajishaua tu, kutakuwa na watu wamemsema ndo akaona apost kuzima soo, maana Zari inaonekana kamind sana, ila huu ni ujinga drama zote hiz za nn, ila wenye akili wataelewa
 
Back
Top Bottom