kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Simbakasema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana.maana Zari kakiri ni yake ila ilipigwa na mke wa huyo mwanaume walienae.Hapana! Ukiangalia vizuri hiyo picha hiyo sio real kuna Photoshop imehusika hapo
As Kimada,maana Zari hajamuoaDini yake si inamruhusu? Amuongeze na Hamisa...
Kwani Mange yeye anasemaje?
Picha ya nani?!Ivan,Zari,Nillan au Dimond?!Mhhhhh........
Ebu tupia kapicha basi......
Mambo hadharani...Sasa angempigia simu tungepata wapi cha kujadili Acha roho mbayaHaya maisha ya insta shida sana sasa alishindwa kumpigia simu akamtolee povu mpaka aweke comments insta ??
Nimecheka sana aiseeeee!!!!!!!!!!!!Bwa! Ha! Ha! Ha!
Dah...mazee umenichekesha sana.
Unajua sikuwa nategemea kuona mambo ya 'Mange keshasema' huku [sijui hata kwa nini].
Nimecheka hadi nimepaliwa na hii waffle nnayoila hapa.
Ila kama Mange keshasema ndo basi tena...huo ndo ukweli wenyewe.
😀😀😀😀😀😀
Kweli mange kiboko.....hahahaha nimecheka sanahahahahahaha kwakweli Kumbe Mange ameshasema? basi mimi nilisema kabla ya Mange kusema...
hakika mimi ni nani mpaka nimbishie Mange?
Anajishaua tu, kutakuwa na watu wamemsema ndo akaona apost kuzima soo, maana Zari inaonekana kamind sana, ila huu ni ujinga drama zote hiz za nn, ila wenye akili wataelewaEeeeeeh
Diamond kawajibu wapenda udaku, ila nae kachemsha sana leo ndio wivu gan anatuletea tujue ya ndani...kiki mbovu
Boss Lady anatoa commands tuHIVI HUYU ZARI SI ALISEMA KAACHIWA MAVYUO SOUTH ? SASA JUMATATU SIKU YA KAZI BADALA AKAFANYE HATA KAMANAGEMENT MEETING YUPO SPA?