Kimenuka Diamond amemjibu alikiba kwa kuimba tena..amuita dada sikiliza hapa

Kimenuka Diamond amemjibu alikiba kwa kuimba tena..amuita dada sikiliza hapa

Haa, msiniletee Nuksi mi huwa silagi Vipusa...
 
Bahati mbaya kiba ye kuchana hawezi, angekuwa anaweza kuchana na pia uthubutu wa kujibu, bifu safari hii lingekuwa level za kimbele...!

Nashangaa mondi katoa nyimbo zaidi ya 3 huu mwaka ila kibakuli ye yupo na Aje yake ila cha ajabu wanasema kuwa anatembelea nyota ya mondi while jamaa yuko kimya mwaka sasa

Pia hili bifu safari hii kalianzisha mondi tena kwa kutulia kabisa na kuandika verse ya kudiss sa sijui nani anaetafuta kiki kupitia kwa mwezie...!

Anyway ngoja tusubiri majibu ya kibakuli twitter, naona kufanya tour ulaya nayeye kajikuta kama wasanii wa ulaya maana wale waga mapovu yanaishia twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah mondi bhnaa tatizoo,....mambo ya wizkid na Davido yanavo endelea nigeria,....jamaa ana akili kaona siasa saivi imefunika mziki ndio iliotawala anajarbu kuwarudisha watu ktk maskio ya music kama ilivokuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba atatoa ngoma moja anakaa muda hajigusi anaiuza tu Naseeb kila mara yuko studio na bado ajisemee kiba anatafutaga kiki kwake hapa jibu liko wazi kaona ngoma tatu na hamisa bado kamtibua kiba

Sent using Jamii Forums mobile app
Relax hizo ndio janja za biashara ya muziki refer 50cent na Rick Ross, Big vs Pac, Wiz vs Davido, Mik vs Drake nk
 
Back
Top Bottom