Kimenuka Diamond amemjibu alikiba kwa kuimba tena..amuita dada sikiliza hapa

Kimenuka Diamond amemjibu alikiba kwa kuimba tena..amuita dada sikiliza hapa

Ni kama watu wanamvuta diamond arudi chini yeye ndiye pillar ya muziki kama natania ngoja afarik (Mungu aepushie mbali) itakuwa ni kama kanumba alivyokwenda na bongo movie yake
 
Kiba hana uwezo wa Diamond.

Sympathisers WA kiba wanajaribu kumpa Moyo kiba ajione walau naye yumo. Lakini kijana wao hawezi mziki WA diamond na Wala hamkaribii.

Swala la wivu kati yao ni jambo jingine. Ila huo ndio ukweli.
Kiba atakua na mashabiki wakorofi lakini hawawezi kubadili matokeo.
Diamond kafunika afrika mashariki yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndio matokeo ya upumbavu anaoufanya domo

Kupenda kiki za kijinga mpaka mama yake anatukanwa

Hawezi kutoa wimbo.mpaka achokonoe watu????
View attachment 573269
Aliyekwambia hiyo kiki inahusiana na kutoa wimbo ni nani ? Hiyo kiki ni kupotezea tu kelele za mtoto wa Hamisa. Na amefanikiwa tayari saiv kila kona inazungumzia hii kitu. BTW diamond ni kiki iliyokamilika haitaj kiki ya ziada lbd yeye ndo atoe kiki
 
Sipendi huu upuuzi wa Diamond na Ali kiba yaaan super star wa bongo daaaah shida tu

Yaani hakuna msanii ninaemkubali kama Ay hana utoto huo No Show Up ana mkwanja lakini hana ujinga wa mabifu na kujichora chora tu bila sababu "Private Life is Happy Life " kwanini wasiwe km Jembe km hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana Mond, kawa nao ni wasanii waende studio wakajibu huko, sio kukimbilia twitter.
 
Sipendi huu upuuzi wa Diamond na Ali kiba yaaan super star wa bongo daaaah shida tu

Yaani hakuna msanii ninaemkubali kama Ay hana utoto huo No Show Up ana mkwanja lakini hana ujinga wa mabifu na kujichora chora tu bila sababu "Private Life is Happy Life " kwanini wasiwe km Jembe km hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mond ni geneus, akitaka mumuongelee, mtamuingelea tu!yaani akiamua kupata airtime, hamna namna.
 
Sipendi huu upuuzi wa Diamond na Ali kiba yaaan super star wa bongo daaaah shida tu

Yaani hakuna msanii ninaemkubali kama Ay hana utoto huo No Show Up ana mkwanja lakini hana ujinga wa mabifu na kujichora chora tu bila sababu "Private Life is Happy Life " kwanini wasiwe km Jembe km hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila MTU na destiny yake na fate yake ndo maana kila MTU kaitwa jina lake humu duniani
 
Back
Top Bottom