eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Hatutoi kiki
Kama ameishiwa anatafuta kiki hatutoi
Kama ameishiwa anatafuta kiki hatutoi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndio hata akili Huna.Duu...diamond ANACHANA ..poa sn kuliko KUIMBA...bora awe anachana tu..pia KIBAKULI tatizo lake anashindana na wakati.....KUMBUKA WAKATI NI UKUTA UKISHINDANA NAO UTAJUTA.....muda wa KIBAKULI kwenye MZIKI ushapita....mbona WAHENGA WENZIE wamegeukia MAJUKUMU mengine? na yeye ni kipindi cha KUFANYA HIVYO....mwanamziki GANI kwa mwaka anatoa NYIMBO moja tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani DIAMOND alimtaja mtu jina? Pambana na hali yko....mziki umewashinda mnaanza Vijembe...WAKATI UKUTA..We ndio hata akili Huna.
Yaani maneno mnaanzisha wenyewe mkijibiwa mnaita watu wabaya.
Iheshimu hata hiyo avatar,acha ujinga bana.Kwani DIAMOND alimtaja mtu jina? Pambana na hali yko....mziki umewashinda mnaanza Vijembe...WAKATI UKUTA..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yako wewe mwenyewe....weka muziki wwcha vijembeIheshimu hata hiyo avatar,acha ujinga bana.
Aibu sanaDiamond ana wivu sana,mwanaume huwezi kuzungumza kuhusu mavazi ya mwanaume mwenzio wala safari za mwanaume..Jamaa anakoelekea atatiwa!!