We kweli umechelewa....Kwani DIAMOND alimtaja mtu jina? Pambana na hali yko....mziki umewashinda mnaanza Vijembe...WAKATI UKUTA..
Sent using Jamii Forums mobile app
Anarap kishamba(kizamani)Zaiidi-WOWOWODogo anachana vizuri anawazid marapper wengi tu wanaojiita wa main stream
Aliyekwambia hiyo kiki inahusiana na kutoa wimbo ni nani ? Hiyo kiki ni kupotezea tu kelele za mtoto wa Hamisa. Na amefanikiwa tayari saiv kila kona inazungumzia hii kitu. BTW diamond ni kiki iliyokamilika haitaj kiki ya ziada lbd yeye ndo atoe kikiHaya ndio matokeo ya upumbavu anaoufanya domo
Kupenda kiki za kijinga mpaka mama yake anatukanwa
Hawezi kutoa wimbo.mpaka achokonoe watu????
View attachment 573269
Angekuwa anajiheshimu asingejibu matweet mfululizo. Kwanz alipo anafurahi kapewa kiki na ngoma zake anazotaka kuachiaKIBA ANAJIHESHIMU SIYO KWAMBA HAWEZ KURAP AU KUFANYA NN KUMPONDA NA KUMCHAFUA MTU UNAWEZA HATA KWA KUIMBA TUU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mond ni geneus, akitaka mumuongelee, mtamuingelea tu!yaani akiamua kupata airtime, hamna namna.Sipendi huu upuuzi wa Diamond na Ali kiba yaaan super star wa bongo daaaah shida tu
Yaani hakuna msanii ninaemkubali kama Ay hana utoto huo No Show Up ana mkwanja lakini hana ujinga wa mabifu na kujichora chora tu bila sababu "Private Life is Happy Life " kwanini wasiwe km Jembe km hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahamisha upepo kutoka kwa hamissa hadi kwa kiba jamaa anajua sana kucheza na akili za wabongoMond ni geneus, akitaka mumuongelee, mtamuingelea tu!yaani akiamua kupata airtime, hamna namna.
Mfano?Dogo anachana vizuri anawazid marapper wengi tu wanaojiita wa main stream
Ni msanii, unategemea ajikunyate?
Ney, Dudu Baya, AD+, Zilla , need I mention more?Mfano?
Usifananishe Zilla na vitu vya kipuuziNey, Dudu Baya, AD+, Zilla , need I mention more?
Kila MTU na destiny yake na fate yake ndo maana kila MTU kaitwa jina lake humu dunianiSipendi huu upuuzi wa Diamond na Ali kiba yaaan super star wa bongo daaaah shida tu
Yaani hakuna msanii ninaemkubali kama Ay hana utoto huo No Show Up ana mkwanja lakini hana ujinga wa mabifu na kujichora chora tu bila sababu "Private Life is Happy Life " kwanini wasiwe km Jembe km hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwa mzazi aiseee Mzazi anaheshima zake kubwa sana sanaKila MTU na destiny yake na fate yake ndo maana kila MTU kaitwa jina lake humu duniani