huyo sio shugamami...badi kabinti kabisa. shugamami ni kama Ummy mwalimu hivi na type hiyoDogo we si ulisema unapenda kitonga kwa mashugamami? Haya huyo hapo sasa ushindwe wewe
Eh eh eh kwa hyo kijana unataka kulala na waziri wako wa afya duuh!! Watoto wa sikuhizi ni hatari sanahuyo sio shugamami...badi kabinti kabisa. shugamami ni kama Ummy mwalimu hivi na type hiyo
nimetumia tafsida...umeshindwa kung'amua. rudi shuleEh eh eh kwa hyo kijana unataka kulala na waziri wako wa afya duuh!! Watoto wa sikuhizi ni hatari sana
Upumbavu afanye mjinga mjinga mmoja.. Zahama tushushiwe waname wote wa Dar ebu mtutake radhi kwanzaHuyo Lukindo naye hamnazo, wanaume wa Dar ktk ubora wao.
Nyimbo ishatoka ,pamoja na kupewa promo na CMG lkn watu washaipotezea,ndio ameamua kuja kwa staili hii ya kesi ajaribu kuboost ngoma yake.Mwisho wa siku tutakuja kuambiwa kulikuwa na nyimbo mpya wanataka ku realise.
Miongozo huwa haisemi iwe na "mvuto" sio shairi hilo. Ina kila kitu cha msingi kinachotakiwa kwenye demand notice (na ukumbuke huwa haina format moja maalum). Muendage law school mkafundishwe tupunguze idadi ya bush lawyers.Hao east woods attorney hawajalipwa nini? Mbona hiyo demand notice wameiandaa kichovu hivyo hata haina mvuto!
releaseMwisho wa siku tutakuja kuambiwa kulikuwa na nyimbo mpya wanataka ku realise.
Asante mkuu.release
Hii ngoma ina onyesha uwezo wa biggie when it came to mafioso story telling.Somebody gotta die- Notorious B. I.G
Mwanaume kaacha kazi ili afanye mzikiHawa wote si wapo Clouds kwa nini wamefikia hapo Boss asiwasuruhishe au kuna mmoja kahama hapo Clouds??
Okay sawa kumbe ndiyo maana!!Mwanaume kaacha kazi ili afanye mziki
Ndio tena alitukana zaidi ya hayo kuna matusi mengine hayajawekwa ilikuwa ni kwenye you heard ya soudy brown kwenye XXL YA CLOUDS FMNi kweli alitukana haya matusi?ni nani alisikia?au kiki?