KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha

KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha

Atakuwa amepata mume yuleee wa kutoa mahali ya 500 millions, 50 millions sio ishu kwake now kutoa ndo maana haikuwa shiida kwake kutamka nyeti za Lukindo
 
huyo sio shugamami...badi kabinti kabisa. shugamami ni kama Ummy mwalimu hivi na type hiyo
Eh eh eh kwa hyo kijana unataka kulala na waziri wako wa afya duuh!! Watoto wa sikuhizi ni hatari sana
 
Hao east woods attorney hawajalipwa nini? Mbona hiyo demand notice wameiandaa kichovu hivyo hata haina mvuto!
 
Hawa wasanii wa tz n watundu sana. Mwisho wa game wameombana msamaha, wimbo unatoka
 
Mwisho wa siku tutakuja kuambiwa kulikuwa na nyimbo mpya wanataka ku realise.
Nyimbo ishatoka ,pamoja na kupewa promo na CMG lkn watu washaipotezea,ndio ameamua kuja kwa staili hii ya kesi ajaribu kuboost ngoma yake.
 
Huyu Diva wakati anautangazia Umma kuwa yeye anataka mwanaume mwenye kumpa mln 500 ili amilikishe hiyo Ngomosi yake, kumba kuna watoto wa kiuni wamemtafuna kisela tu!!.
 
Hao east woods attorney hawajalipwa nini? Mbona hiyo demand notice wameiandaa kichovu hivyo hata haina mvuto!
Miongozo huwa haisemi iwe na "mvuto" sio shairi hilo. Ina kila kitu cha msingi kinachotakiwa kwenye demand notice (na ukumbuke huwa haina format moja maalum). Muendage law school mkafundishwe tupunguze idadi ya bush lawyers.
 
Asubiri hela atazolipiwa mahari nayeye apate hio milioni 50.
 
Back
Top Bottom