Kimenuka Insta; Diva adaiwa kupora mme wa mtu, Petitiman


Alihisi hakuna ushahidi.
 
Hawa ndio akina usipojipanga nitakupanga,listori kama hili huku linafata nini?!
Nngekuwa uwezo ningekuzimia data wiki nzima ili ututolee ujinga wako hapa.

we mgeni JF? hizi ndo habari tunazozitaka jukwaa hili so dizain kama jukwaa halikuhusu mkuu
 
Ni vyema hizi hadithi mkazileta baada ya 25/10...sisi tunamjua huyu mzee tu!
 

Attachments

  • 1439049526826.jpg
    46.9 KB · Views: 792
Duh kimenuka naona mume wa Dada ake
Mondi Petit kakamatwa akitumiana msg za mapenzi na
Diva the Bawse..
 
Diva kasema ni uzungu tu wala hajala dyudyu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…