Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumjua mjinga mpaka umfatilie?Ntolee un.gese hapa
Esma naye katangaza kujivua gamba huko insta.
kuna watu wanajifanya hawataki hizi habari. wakati wameshasoma uzi mzima.
diva ndio nani na petiti ndio nani?
Watarudi kusoma na comments.
Kuna mwana dada anaitwa ladynaa alipost tuhuma kwamba Diva anajikomba kwa petitman kwa kumtumia sms za kimahaba
Diva akaja juu na kukanusha hajawasiliana na kutishia anakwenda polisi kadhalilishwa
Mwanadada ladynaa akaona isiwe tabu akazirusha hewani sms, diva akakiri zake lakini akadai kuitana i love you babe na daring ni uzungu tu na hakuna mahaba
Swali kwanini alikataa mwanzo?
Diva alikuwa mke mtarajiwa wa Ayatu.lla CEO wa TCA Wazushi.

Kigogo katika ubora wako. Asante kwa ushahidi. Kumbe mume anazunguka nchi kupiga umbea huku mke anatongoza waume za watu?View attachment 274393View attachment 274394View attachment 274395
Bila vielelezo humu tutasumbuana kuelewana jamani
Hawa ndio akina usipojipanga nitakupanga,listori kama hili huku linafata nini?!
Nngekuwa uwezo ningekuzimia data wiki nzima ili ututolee ujinga wako hapa.
we mgeni JF? hizi ndo habari tunazozitaka jukwaa hili so dizain kama jukwaa halikuhusu mkuu
Jamani Lipumba vipi katowekea wapi?
Diva kasema ni uzungu tu wala hajala dyudyu...
Uzungu kwa mume wa watu.?......jamani jamani.........