cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Ule ni mwandiko wa Mange labda kama wameamua kumkosanisha na Zama lakini jambo ambalo haiwezekani maana ile akaunti amewahi kuipromote kipindi cha maandamano remember?
Ana zingine za backup kisiasa, udaku
Ni anazo ila hiyo ndio ameamua iwe ya udaku na kuchambia kwa magazeti.. alipoanza alijitahidi kubadili anavyoandika ila yakamshinda maana mtu unamjua tu..
Hadi kesho anajifanya sio yeye wasiomjua wanamuamini..
Ndio bosi wa hamisa instagram
Na michango wanaomba misa apate pesa amfikie Zari