Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Haaahaaa..
Nimefurahia hicho kipengele cha huo upole wa Wema[emoji15] [emoji15]

Hivi Wema mpole?
Tukifikikaga kwa wema lazima tutofautiane[emoji23][emoji23][emoji23]

Witty sasa kwani Wema sio mpole?

Ni mpole bana ila anapenda masifa akikaa sehemu aonekane.

Kama hamisa alivyo mpole ila ni kanyoka anakuua huku anakuchekea.
 
Uwiiii hakuna mpole hapo uzuri mmoja nimeishi nae mtaa mmoja na shost+ bata zake nazielewa

Mama ubaya......sio mpole sema anataka kuaminisha public kuwa ni so perpect

Narudia hana upole wowote zaidi kajikutaga amezaliwa kuuridhisha ulimwengu tu[emoji15] [emoji15]

Huyo mwingine sina haja ya kusema mambo yake tu yanajionesha hadharani ( analazimisha fortune+ fame vitamcost tu one day)
 
Binti ndepaya..kaingilia mtanange
IMG_20180815_144443.JPG
 
Uwiiii hakuna mpole hapo uzuri mmoja nimeishi nae mtaa mmoja na shost+ bata zake nazielewa

Mama ubaya......sio mpole sema anataka kuaminisha public kuwa ni so perpect

Narudia hana upole wowote zaidi kajikutaga amezaliwa kuuridhisha ulimwengu tu[emoji15] [emoji15]

Huyo mwingine sina haja ya kusema mambo yake tu yanajionesha hadharani ( analazimisha fortune+ fame vitamcost tu one day)
HAMISA is soooo scheemy!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nampenda mama ubaya basi tu ana vitu vinaboa.

Jana nilikua nacheka tu wanavyojifanya wapo upande wa Hamissa wakati yeye ndo kayaanzisha.

Ila Zama alichokipata hatoamini maana ni kama alikua anasubiriwa ayakanyage.
 
Back
Top Bottom