Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Ule ni mwandiko wa Mange labda kama wameamua kumkosanisha na Zama lakini jambo ambalo haiwezekani maana ile akaunti amewahi kuipromote kipindi cha maandamano remember?

Ana zingine za backup kisiasa, udaku

Ni anazo ila hiyo ndio ameamua iwe ya udaku na kuchambia kwa magazeti.. alipoanza alijitahidi kubadili anavyoandika ila yakamshinda maana mtu unamjua tu..

Hadi kesho anajifanya sio yeye wasiomjua wanamuamini..

Ndio bosi wa hamisa instagram

Na michango wanaomba misa apate pesa amfikie Zari
 
Milioni 20 kufanyia sherehe
hem ngoja kwanza!!

ALIFANYIA NYUMBANI- HAKUNA GHARAMA YA UKUMBI!
ALIPIKA CHAKULA KWA CATERING YAKE.
Hiyo milioni 20 kajumlisha na sendo za Shabaan au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani
 
Kosa ka Zamaradi ni yale magazeti yake " sherehe milion 20 oooh sijachangiwa, mgaunia nimeutafuta mshono mwenyewe"

Mgazeti mmoja ( part 1) unakuja mgazeti mwingine hivo hivo kumbe full kujisifia tuu hamna la maana kujichoresha tu na kujisifia!
Suala lilikuq nguo hayo ya kuandaa shughuli za million nane aliulizwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…