Anaona wivu ....wenzake wakiongelewa bila yy kuhusika....ila ana roho ngumu sijui ndo ile ukivuta unatoka nishai ni huna aibuu[emoji15] [emoji15]Wema attention seeker..anaona beef bila kuongelewa yeye haliendi ila ana moyo
Ni nini sasa kile?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usisingizie bangi embuu. Bangi haimfanyi mtu akawa mjinga kama Wema alivyo.
Ni nini sasa kile?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usisingizie bangi embuu. Bangi haimfanyi mtu akawa mjinga kama Wema alivyo.
Anajikuta mtoto hakui.Ni nini sasa kile?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sir Pinto hatunaye RIP[emoji3] [emoji3] [emoji3] kafaa!wabongo nomaa
Yaap!Aaaah
Yaaan hayo magazeti utafikiri alikunywa kangara....ujue haeleweki?!Suala lilikuq nguo hayo ya kuandaa shughuli za million nane aliulizwa?
Tukifikikaga kwa wema lazima tutofautiane[emoji23][emoji23][emoji23]Haaahaaa..
Nimefurahia hicho kipengele cha huo upole wa Wema[emoji15] [emoji15]
Hivi Wema mpole?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nifanyeje sasaHahaahhaa.... umemalizia vizuri
"Nina twenty two tena ntaifikisha mwezi wa 8 mwakani[emoji23] [emoji23] [emoji15]Anajikuta mtoto hakui.
Nakataa hana uzuri wowote rangi tu ndo nzuri.Rachel mzuri sanaaaaaa. Ila akili yake ni zero zero zero
Uwiiii hakuna mpole hapo uzuri mmoja nimeishi nae mtaa mmoja na shost+ bata zake nazielewaTukifikikaga kwa wema lazima tutofautiane[emoji23][emoji23][emoji23]
Witty sasa kwani Wema sio mpole?
Ni mpole bana ila anapenda masifa akikaa sehemu aonekane.
Kama hamisa alivyo mpole ila ni kanyoka anakuua huku anakuchekea.
Asante my shost kwa kuliona hiliNakataa hana uzuri wowote rangi tu ndo nzuri.
Kwenye wazuri wakiitwa yeye asitokee kabisa.
HAMISA is soooo scheemy!!Uwiiii hakuna mpole hapo uzuri mmoja nimeishi nae mtaa mmoja na shost+ bata zake nazielewa
Mama ubaya......sio mpole sema anataka kuaminisha public kuwa ni so perpect
Narudia hana upole wowote zaidi kajikutaga amezaliwa kuuridhisha ulimwengu tu[emoji15] [emoji15]
Huyo mwingine sina haja ya kusema mambo yake tu yanajionesha hadharani ( analazimisha fortune+ fame vitamcost tu one day)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nampenda mama ubaya basi tu ana vitu vinaboa.Uwiiii hakuna mpole hapo uzuri mmoja nimeishi nae mtaa mmoja na shost+ bata zake nazielewa
Mama ubaya......sio mpole sema anataka kuaminisha public kuwa ni so perpect
Narudia hana upole wowote zaidi kajikutaga amezaliwa kuuridhisha ulimwengu tu[emoji15] [emoji15]
Huyo mwingine sina haja ya kusema mambo yake tu yanajionesha hadharani ( analazimisha fortune+ fame vitamcost tu one day)
Haha...mil6 my footKama Gigy ananunua wigi mil 6,
Mil 20 bado ndogo kwa sherehe