Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Unahamu ya kuchambwa ww. Sina muda huo kwasasa kwan you arent worth my time an energy so far.

Ila ukintafuta aisee utajuta kuchambana na mm.
 
Yaani huyu akae kimya tu Neema, ila maisha haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Neema alikua anaapa lazima aje kuwa maarufu kwa namna yoyote.

Naona taratibu anafanikiwa.

Ngoja waja waje na mafile yake maana alipo ana laana ya mume.
Anajifanya hodari wa kurekebisha wenzie..vyake vinamshinda na mashavu yale kama ana puliza moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…