Mtoto bwanaa kani kafika 25 wema?Anajikuta mtoto hakui.
Mnafiki tu yule anajishtukia balaaHaaahaaa.....anamwitaga mwenyewe mume wake mission town...yaan full kujistukiaga!
[emoji3][emoji16][emoji16]huyo wema miye sijui ila hamisa halazimishi jamani kwa sasa anawika mdogo mdogo tu atakaa sawa!kama atazingatia miiko ya kaziUwiiii hakuna mpole hapo uzuri mmoja nimeishi nae mtaa mmoja na shost+ bata zake nazielewa
Mama ubaya......sio mpole sema anataka kuaminisha public kuwa ni so perpect
Narudia hana upole wowote zaidi kajikutaga amezaliwa kuuridhisha ulimwengu tu[emoji15] [emoji15]
Huyo mwingine sina haja ya kusema mambo yake tu yanajionesha hadharani ( analazimisha fortune+ fame vitamcost tu one day)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ya zama
Wooozer[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Hahahhaahhahaa
Haaahaaa...mateam hayaa haaahaaaHamisa sio nyoka tafadhalii binamuuu[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namna ulivyoandika ni jibu tosha wewe na kariba ya wakina "Mwajuma ndala ndefu". Ukute ni li-single mama limeshazalishwa hovyo kama mbwa Wa uswahilini.Mkuu huyo mkeo Wa kipemba si ndo hao mnaowaoa wakiwa na bikra zao eeeh
Huyu Fontana ni mgomvi tu maana nilianza kumshusha alivyomtukanaga Irene uwoya halafu Irene wala hakumjibu hata neno mojaaa kajiropokeshaa weeee!kakaa kimya Leo naona kamfata hamisaa hana lolote huyu!Binti ndepaya..kaingilia mtanangeView attachment 836773
Shwari mamyHamna bahati mbaya wanatumia dawa both mama na mtoto.
Sio catering ana macatering na maduka ya nguo kibao hapa mjini ( according to her)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi Zama kumbe naye ana catering πππππ
Ana 22....tena anaifikisha 12/8/19Mtoto bwanaa kani kafika 25 wema?
Alisema anayo.Hivi Zama kumbe naye ana catering πππππ
Hamisa kosa lake nini jamani msimuonee binti wa watu!nampenda wema nampenda hamisa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nampenda mama ubaya basi tu ana vitu vinaboa.
Jana nilikua nacheka tu wanavyojifanya wapo upande wa Hamissa wakati yeye ndo kayaanzisha.
Ila Zama alichokipata hatoamini maana ni kama alikua anasubiriwa ayakanyage.
Hamisa is dying for fortune n fame....same to Wema tu kasoro umri na utofauti wa nani alianza kushine ushenzini humu bongoo![emoji3][emoji16][emoji16]huyo wema miye sijui ila hamisa halazimishi jamani kwa sasa anawika mdogo mdogo tu atakaa sawa!kama atazingatia miiko ya kazi
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]meneja michamboooHilo nalo mshingo umemjaa kwa ajili ya umbea na ule mdomo wake wa kidomodomo kabisa!
Eti manager? Manager yule uwiii! Kweli bangi mbayaa
Ana laana ya mume?hatariii[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]mjini sihamiYaani huyu akae kimya tu Neema, ila maisha haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Neema alikua anaapa lazima aje kuwa maarufu kwa namna yoyote.
Naona taratibu anafanikiwa.
Ngoja waja waje na mafile yake maana alipo ana laana ya mume.
Vyote vishenzi tu rayna vinapenda kiki upupu humu vumbini bongo[emoji23] [emoji23]Hamisa kosa lake nini jamani msimuonee binti wa watu!nampenda wema nampenda hamisa!!
Nna hakika aliyevujisha habari sio missa ni mtu tofauti!kabisaa!!ila kwa kua yy ndo mwenye kampuni msala umemdondokea
Anatafuta kiki bebe....bila kiki mjini pagumu shoo...muache ajifanye anajua wenzie wananchora tu ipo siku yakeHuyu Fontana ni mgomvi tu maana nilianza kumshusha alivyomtukanaga Irene uwoya halafu Irene wala hakumjibu hata neno mojaaa kajiropokeshaa weeee!kakaa kimya Leo naona kamfata hamisaa hana lolote huyu!
Ila zama ana sifa!!! LohSio catering ana macatering na maduka ya nguo kibao hapa mjini ( according to her)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariii!kumbeeee!!!!!looh!mjini kuna mamboHuyu dada namjua toka miaka 10 nyuma huko kwenye 2004 - 2007.
Alikua ni rafiki wa sister ni kakubwa kweli basi tu kujitia utoto
Akaja akaolewa na kaka mmoja anaitwa Fredy anafanyia channel ten.
Akazaa nae Ivan, Neema anafika hapo kwa ajili ya Fredy.
Neema kasota kwenye kuigiza mnoo kasota sana Fredy alimpambania sijui star tv..sijui kwa watu gani ili Sanaa imtoe.
Alivyoanzisha urafiki na kina Aunty kujulikana kidogo mjini akadai talaka na kuanza kudate viben ten.
Fredy mpaka sasa kagoma kutoa talaka anaamini mkewe ipo siku atarudi.
Kwa watu wanaomjua toka long huwa wanamsikitikia tu Fredy.