Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Uwiiii hakuna mpole hapo uzuri mmoja nimeishi nae mtaa mmoja na shost+ bata zake nazielewa

Mama ubaya......sio mpole sema anataka kuaminisha public kuwa ni so perpect

Narudia hana upole wowote zaidi kajikutaga amezaliwa kuuridhisha ulimwengu tu[emoji15] [emoji15]

Huyo mwingine sina haja ya kusema mambo yake tu yanajionesha hadharani ( analazimisha fortune+ fame vitamcost tu one day)
[emoji3][emoji16][emoji16]huyo wema miye sijui ila hamisa halazimishi jamani kwa sasa anawika mdogo mdogo tu atakaa sawa!kama atazingatia miiko ya kazi
 
Mkuu huyo mkeo Wa kipemba si ndo hao mnaowaoa wakiwa na bikra zao eeeh
Namna ulivyoandika ni jibu tosha wewe na kariba ya wakina "Mwajuma ndala ndefu". Ukute ni li-single mama limeshazalishwa hovyo kama mbwa Wa uswahilini.


Narudia tena acheni kujilinganisha na wanawake Wa kipemba. Watoto wana lafudhi tamu kama wanakula asali ya Tabora. Sio mingumbalu inaongea kama trekta za kulimia majaruba ya mpunga huko ileje.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nampenda mama ubaya basi tu ana vitu vinaboa.

Jana nilikua nacheka tu wanavyojifanya wapo upande wa Hamissa wakati yeye ndo kayaanzisha.

Ila Zama alichokipata hatoamini maana ni kama alikua anasubiriwa ayakanyage.
Hamisa kosa lake nini jamani msimuonee binti wa watu!nampenda wema nampenda hamisa!!

Nna hakika aliyevujisha habari sio missa ni mtu tofauti!kabisaa!!ila kwa kua yy ndo mwenye kampuni msala umemdondokea
 
Yaani huyu akae kimya tu Neema, ila maisha haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Neema alikua anaapa lazima aje kuwa maarufu kwa namna yoyote.

Naona taratibu anafanikiwa.

Ngoja waja waje na mafile yake maana alipo ana laana ya mume.
Ana laana ya mume?hatariii[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]mjini sihami
 
Hamisa kosa lake nini jamani msimuonee binti wa watu!nampenda wema nampenda hamisa!!

Nna hakika aliyevujisha habari sio missa ni mtu tofauti!kabisaa!!ila kwa kua yy ndo mwenye kampuni msala umemdondokea
Vyote vishenzi tu rayna vinapenda kiki upupu humu vumbini bongo[emoji23] [emoji23]
 
Huyu Fontana ni mgomvi tu maana nilianza kumshusha alivyomtukanaga Irene uwoya halafu Irene wala hakumjibu hata neno mojaaa kajiropokeshaa weeee!kakaa kimya Leo naona kamfata hamisaa hana lolote huyu!
Anatafuta kiki bebe....bila kiki mjini pagumu shoo...muache ajifanye anajua wenzie wananchora tu ipo siku yake
 
Huyu dada namjua toka miaka 10 nyuma huko kwenye 2004 - 2007.

Alikua ni rafiki wa sister ni kakubwa kweli basi tu kujitia utoto

Akaja akaolewa na kaka mmoja anaitwa Fredy anafanyia channel ten.

Akazaa nae Ivan, Neema anafika hapo kwa ajili ya Fredy.

Neema kasota kwenye kuigiza mnoo kasota sana Fredy alimpambania sijui star tv..sijui kwa watu gani ili Sanaa imtoe.

Alivyoanzisha urafiki na kina Aunty kujulikana kidogo mjini akadai talaka na kuanza kudate viben ten.

Fredy mpaka sasa kagoma kutoa talaka anaamini mkewe ipo siku atarudi.

Kwa watu wanaomjua toka long huwa wanamsikitikia tu Fredy.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariii!kumbeeee!!!!!looh!mjini kuna mambo
 
Back
Top Bottom