Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Hii hii Pemba au?
 
Huyu Dada kwa magazeti halafu kujifanya yeye ni Big brand hahaaaassss
Big brand wanazo kina kim kardashian atakuwaga nayo huyo zama hyo brand ,basi ni mtu ambae ameji disvalue kwa mauongo yake na kujiona yuko perfect kuliko wengine na ni kitu kibaya sana sijui arobain umetumia mil.20 inahusu nini sasa ujinga tu.
 
Ona sasa Ndepanya ameshaanza kufukuliwa kaburi lake. Ugomvi wa paka panya nae huyoo sio kutafuta kuliwa huko
 
Hao wadada bado wanagombana kuhusu hiyo nguo?

Driveling idiots!
NN unafkr ni nguo?
Wala.

Kuna Diamond.
Kuna Bashite
Kuna Wema
Kuna Mama Dangote
Kuna Mange
Kuna Ruge
Kuna Clouds
Kuna Milly Nyampua
Kuna WCB
Kuna Kamati
Af tena
Kuna 40 ya Salah
Kuna Wonder Women
Kuna Birthday ya Juhjuh
Kuna Nyumba ya Zama



VYOOOOTE HIVYO KUSANYA NDO UNAPATA MSHONO WA GAUNI.
 
Fredy hajafika kutoa talaka kisa eti ipo siku neema atarudi kwake no way.

Iko hivi adhabu kwa mwanamke korofi ni kutomtaliki....,..ukimtaliki atakuwa huru Sasa ww unamnyea haswaaaa no talaka hakuna kuolewa tena. Ataishia kufanya tuu miaka yote ila ndoa hapat tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…